Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda: Uchaguzi unasubiri hatima ya Katiba Mpya

Waziri Mkuu amesema maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa yameanza lakini kikwazo ni msimamo wa Ukawa katika kupata Katiba Mpya kwa wakati uliopangwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Pinda- Uchaguzi mitaa unategemea Katiba mpya

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ambao unatarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu yanaendelea. Hata hivyo, amesema kwa kiasi kikubwa hatma ya uchaguzi huo, inategemea kukamilika kwa mchakato wa Katiba mpya.

 

10 years ago

Mwananchi

KATIBA MPYA: Wingu linavyogubika hatima Mchakato wa Katiba Mpya

>Bado hakuna mwafaka kuhusu hatima ya Katiba Mpya, baada ya kuahirishwa kwa upigaji Kura ya Maoni iliyopaswa ifanyike Aprili 30 mwaka huu.

 

11 years ago

Dewji Blog

Katiba mpya ikamilike kabla ya Uchaguzi Mkuu — Mizengo Pinda

pinda+maswali

Na Mwandishi wetu

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (pichani) amesema atafurahi kuona mchakato mzima wa Katiba ukikamilika kabla rais mpya hajapatikana katika Uchaguzi Mkuu ujao.

Akizungumza Bungeni baada ya kupewa nafasi na Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta kutoa shukrani, Pinda alipendekeza kura ya maoni ipigwe sambamba na Rais ili kiongozi ajaye afanye kazi ya kutekeleza matakwa ya Katiba hiyo.

Alisema rais ajaye anaweza kuwa na ajenda zake, hivyo ni muhimu kumaliza kazi yote na...

 

11 years ago

Mwananchi

Uchaguzi Simba wasubiri hatima ya katiba yao

Kamati ya Uchaguzi ya Simba imeiomba Ofisi ya Msajili wa Klabu na Vyama  vya Michezo nchini ikamilishe mapema usajili wa katiba ya klabu hiyo iliyofanyiwa marekebisho.

 

10 years ago

Mwananchi

Kikao cha tcd, ni kipi mlichokubaliana kuhusu hatima ya Katiba Mpya?

Nimeendelea kuyasoma magazeti ya siku ya Ijumaa ambayo yalisheheni maudhui ya kikao cha wadau wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) na Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Wadau wakubwa wa TCD ni vyama vya siasa hasa Chama cha Mapinduzi (CCM), Chama cha Wananchi (CUF), Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Chama cha NCCR-Mageuzi na Chama cha UDP.

 

11 years ago

Mwananchi

Pinda Katiba ipatikane kabla ya Rais mpya

>Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema atafurahi kuona mchakato mzima wa Katiba ukikamilika kabla rais mpya hajapatikana katika Uchaguzi Mkuu ujao

 

11 years ago

Habarileo

Hatima kesi ya Pinda leo

HATIMA ya kesi ya kikatiba inayomkabili Waziri Mkuu Mizengo Pinda inatarajiwa kujulikana leo wakati Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itakapotoa uamuzi wa pingamizi la awali lililowasilishwa na upande wa mawakili wa Pinda pamoja na Mwanasheria Mkuu (AG).

 

11 years ago

Mwananchi

Uchaguzi wa serikali za mitaa 2014 na Katiba Mpya

Wiki iliyopita mtandao unaojishughulisha na masuala ya sera nchini wa Policy Forum, ulio na wanachama mashirika 70 ulitoa tamko lao kuhusu uchaguzi wa Serikali za Mitaa, unaotarajiwa kufanyika Septemba au Oktoba 2014.

 

11 years ago

Mwananchi

Hatima pingamizi kesi ya Pinda leo

Hatima ya kesi ya kikatiba inayomkabili Waziri Mkuu, Mizengo Pinda inatarajiwa kujulikana leo, wakati Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itakapotoa uamuzi wa pingamizi la awali lililowasilishwa na walalamikiwa katika kesi hiyo, Pinda na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani