Uchaguzi Simba wasubiri hatima ya katiba yao
Kamati ya Uchaguzi ya Simba imeiomba Ofisi ya Msajili wa Klabu na Vyama vya Michezo nchini ikamilishe mapema usajili wa katiba ya klabu hiyo iliyofanyiwa marekebisho.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi22 Jul
Pinda: Uchaguzi unasubiri hatima ya Katiba Mpya
9 years ago
StarTV18 Aug
UONGOZI SIMBA:Wasubiri ripoti ya kocha Kerr kuhusu kambi.
Klabu ya soka ya Simba inasubiri ripoti ya kocha mkuu wa timu hiyo Dylan Kerr ambayo itaeleza wapi timu hiyo itaweka kambi ya mwisho ya kujiandaa na ligi kuu soka Tanzania bara.
Simba imesema ripoti hiyo itaeleza ni mchezaji gani anatakiwa kusajiliwa miongoni mwa wale waliopo klabuni hapo kwa ajili ya majaribio.
Haji Manara ni Afisa Habari wa Simba amesema baada ya kumaliza mchezo wao dhidi ya URA ambao waliutumia kuwapima baadhi ya wachezaji lakini ripoti ya kocha ndiyo itategua kitendawili...
11 years ago
Mwananchi16 Mar
Uchaguzi Simba Mei, Katiba leo
10 years ago
Mwananchi22 Oct
Mtuhumiwa wa mauaji aomba kujua hatima yao
9 years ago
Mwananchi17 Aug
Hatima ya Mrundi wa Simba
11 years ago
Mwananchi05 Jul
Hatima ya Wambura Simba sasa Agosti 3
11 years ago
Tanzania Daima22 Apr
Hatima ya Loga Simba wiki hii
HATIMA ya Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, raia wa Crotia kuendelea kutanua viunga vya Msimbazi sasa inatarajiwa kujulikana mwishoni mwa wiki hii. Loga alitua Msimbazi mzunguko wa pili wa...
10 years ago
Raia Tanzania23 Jul
Rushwa ya uchaguzi, Guzman na hatima yetu
UCHAGUZI wa mwaka huu umehusisha na unaendelea kuhusisha matumizi makubwa ya fedha ambazo nyingi hazina maelezo, hali inayowatia shaka watu makini kiasi cha kushindwa kuelewa kama kweli pesa hizi zinazotumika ovyo namna hii, zinaweza kuwa zinatoka kwenye vyanzo halali.
Lakini hoja si tu kwamba pesa hizi zinatokana na vyanzo gani lakini vipi pesa hizi zikiweza kuwaweka viongozi madarakani ambao ni mazao ya pesa hizi haramu, ni nini utakuwa mustakabali wa taifa letu?
Wananchi nao...
11 years ago
Mwananchi15 Jul
Hatima ya Katiba inahusishwa na mapepo?