UONGOZI SIMBA:Wasubiri ripoti ya kocha Kerr kuhusu kambi.
Klabu ya soka ya Simba inasubiri ripoti ya kocha mkuu wa timu hiyo Dylan Kerr ambayo itaeleza wapi timu hiyo itaweka kambi ya mwisho ya kujiandaa na ligi kuu soka Tanzania bara.
Simba imesema ripoti hiyo itaeleza ni mchezaji gani anatakiwa kusajiliwa miongoni mwa wale waliopo klabuni hapo kwa ajili ya majaribio.
Haji Manara ni Afisa Habari wa Simba amesema baada ya kumaliza mchezo wao dhidi ya URA ambao waliutumia kuwapima baadhi ya wachezaji lakini ripoti ya kocha ndiyo itategua kitendawili...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi18 Sep
Kerr : Kumbe Simba SC walinidanganya kuhusu Mgambo
11 years ago
Habarileo20 Mar
Iringa wasubiri ripoti ya NEMC
WAKAZI wa Iringa mjini wanasubiri matokeo ya tathmini ya athari ya mazingira, iliyofanywa na Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) katika eneo la Igumbilo mjini Iringa. Wiki nne zimepita tangu Mkurugenzi Mkuu wa NEMC, Bonaventura Baya alipoahidi kwamba tathmini hiyo, itafanywa kwa kipindi kisichozidi wiki mbili na matokeo yake kuwekwa hadharani.
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Uchaguzi Simba wasubiri hatima ya katiba yao
9 years ago
Mwananchi21 Dec
Kocha Kerr amkingia kifua Kiongera
10 years ago
Habarileo05 Aug
Kocha Kerr ‘alia’ na washambuliaji wake
PAMOJA na kupata ushindi kwenye mechi zote za kirafiki ilizocheza mjini hapa, kocha Mkuu wa Simba, Dlyan Kerr ameendelea ‘kulia’ na safu yake ya ushambuliaji kukosa mabao mengi.
11 years ago
Mwananchi17 Jul
Kocha Omog agomea kambi ya nje Azam FC
9 years ago
Habarileo06 Jan
Wachezaji Simba wamtibua Kerr
KOCHA mkuu wa timu ya Simba Dlyan Kerr amesema hajaridhishwa na kiwango kilichooneshwa na wachezaji wake katika mchezo wa michuano ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya Jamhuri juzi uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2.
10 years ago
Mwananchi10 Aug
Kerr: Hakuna Staa Simba
10 years ago
Habarileo02 Aug
Kerr akerwa na washambuliaji Simba
KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Dlyan Kerr amesikitishwa na washambuliaji wake ambao walikosa nafasi nyingi za wazi katika mchezo wao wa juzi wa kirafiki dhidi ya Polisi, ambapo Simba ilishinda mabao 2-0.