Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kerr akerwa na washambuliaji Simba

KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Dlyan Kerr amesikitishwa na washambuliaji wake ambao walikosa nafasi nyingi za wazi katika mchezo wao wa juzi wa kirafiki dhidi ya Polisi, ambapo Simba ilishinda mabao 2-0.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Kerr awatwisha mzigo washambuliaji Simba

Simba ilianza kutetea taji la ubingwa wa Kombe la Mapinduzi kwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Jamhuri ya Pemba juzi, lakini kocha wa timu hiyo, Dylan Kerr amewataja washambuliaji kuwa ndiyo chanzo cha matokeo ya sare.

 

10 years ago

Habarileo

Kocha Kerr ‘alia’ na washambuliaji wake

PAMOJA na kupata ushindi kwenye mechi zote za kirafiki ilizocheza mjini hapa, kocha Mkuu wa Simba, Dlyan Kerr ameendelea ‘kulia’ na safu yake ya ushambuliaji kukosa mabao mengi.

 

11 years ago

GPL

Simba yafuata washambuliaji Brazil, Argentina

Wachezaji wa timu ya Simba SC. Na Sweetbert Lukonge
KUNDI la Friends of Simba limepania kuleta mabadiliko makubwa ndani ya klabu hiyo ili kuhakikisha inafanya vizuri katika michuano ya Ligi Kuu Bara msimu ujao, baada ya kutimkia nchini Brazil na Argentina kutafuta washambuliaji. Uamuzi huo umefikiwa hivi karibuni katika kikao kilichowakutanisha wajumbe wa kundi hilo walipokuwa wakipitia majina ya wachezaji wanaotaka kuwasajili...

 

9 years ago

Mtanzania

Kerr ataka uvumilivu Simba

kerr kazini simba 34NA MWALI IBRHIM, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, amewataka wachezaji wake kuwa wavumilivu kutokana na aina ya mazoezi watakayofanya watakapokuwa kambini visiwani Zanzibar kwa lengo la kuwaongezea kasi tofauti na ilivyokuwa katika mechi zilizopita.

Ikiwa kambini Simba inatarajia kucheza mechi mbili za kirafiki kujipima nguvu kabla ya kurejea kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Azam FC utakaopigwa Desemba 12,  mwaka huu katika Uwanja wa Uwanja wa Taifa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kerr: Hakuna Staa Simba

Kocha wa Simba, Dylan Kerr ametamba kuwa hakuna mchezaji staa ndani ya kikosi chake na hatosita kumweka benchi au kumtimua kabisa mchezaji yeyote ambaye hatofuata kile alichoelekezwa na benchi la ufundi.

 

9 years ago

Mwananchi

Kerr afichua siri ya Simba

Kocha wa Simba, Dylan Kerr ametaja sababu kadhaa zinazoifanya timu yake ishindwe kupata matokeo mazuri kwenye mechi za Ligi Kuu.

 

10 years ago

Mwananchi

Kerr amrithi Goran Simba

Rais wa Simba, Evans Aveva alitumia dakika 17 kutangaza mabadiliko ya benchi la ufundi la timu hiyo litakalokuwa chini ya kocha Muingereza Dylan Kerr (pichani).

 

9 years ago

Habarileo

Wachezaji Simba wamtibua Kerr

KOCHA mkuu wa timu ya Simba Dlyan Kerr amesema hajaridhishwa na kiwango kilichooneshwa na wachezaji wake katika mchezo wa michuano ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya Jamhuri juzi uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2.

 

9 years ago

Mwananchi

Kessy amshitua Kerr Simba

Kocha wa Simba, Dylan Kerr ameshtushwa na uamuzi wa beki wake Hassan Ramadhani Kessy kugoma kusaini mkataba mpya na timu hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani