Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba yafuata washambuliaji Brazil, Argentina

Wachezaji wa timu ya Simba SC. Na Sweetbert Lukonge
KUNDI la Friends of Simba limepania kuleta mabadiliko makubwa ndani ya klabu hiyo ili kuhakikisha inafanya vizuri katika michuano ya Ligi Kuu Bara msimu ujao, baada ya kutimkia nchini Brazil na Argentina kutafuta washambuliaji. Uamuzi huo umefikiwa hivi karibuni katika kikao kilichowakutanisha wajumbe wa kundi hilo walipokuwa wakipitia majina ya wachezaji wanaotaka kuwasajili...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Yanga yafuata kocha Brazil

Aliekuwa kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Na Ezekiel Kitula
MAKOCHA kutoka nchi mbili za Brazil na Uholanzi ndiyo wenye nafasi ya kuifundisha Yanga msimu ujao.
Habari za uhakika kutoka Yanga zinaeleza, Yanga inataka kupata kocha Mholanzi ili kuendeleza utamaduni wa Kiholanzi baada ya kufundishwa na Ernie Brandts na Hans van der Pluijm. Lakini kama mambo hayataenda vizuri itaangalia nchi nyingine na Brazil ndiyo...

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Mechi Brazil, Argentina yasubiriwa kwa hamu

>Mechi inayosubiriwa kwa hamu zaidi na mashabiki wa soka hapa ni Brazil na Argentina kama zitafanikiwa kutinga fainali za Kombe la Dunia katika pambano litakachezwa Julai 13  kwenye Uwanja wa Maracana.

 

10 years ago

GPL

Simba yafuata straika Senegal

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe. Hans Mloli,Dar es Salaam
SIMBA wanajua kuwa wakifanya mchezo katika nafasi ya straika, basi msimu ujao watafulia zaidi.
Ili kuonyesha hawataki utani wameamua kusaka straika wa uhakika katika nchi tano ikiwemo Senegal pamoja Ghana kwa upande wa Afrika Magharibi. Pamoja na nchi hizo mbili, Simba wataendelea kusaka mshambuliaji mkali katika nchi za Burundi, Kenya na...

 

10 years ago

Habarileo

Kerr akerwa na washambuliaji Simba

KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Dlyan Kerr amesikitishwa na washambuliaji wake ambao walikosa nafasi nyingi za wazi katika mchezo wao wa juzi wa kirafiki dhidi ya Polisi, ambapo Simba ilishinda mabao 2-0.

 

9 years ago

Mwananchi

Kerr awatwisha mzigo washambuliaji Simba

Simba ilianza kutetea taji la ubingwa wa Kombe la Mapinduzi kwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Jamhuri ya Pemba juzi, lakini kocha wa timu hiyo, Dylan Kerr amewataja washambuliaji kuwa ndiyo chanzo cha matokeo ya sare.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Ni Argentina na Ujerumani fainali

Timu ya soka ya Argentina imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya Kombe la Dunia baada kuitungua Uholanzi kwa mikwaju ya penalti 4-2, katika mchezo wa jana wa nusu fainali nchini Brazil.

 

9 years ago

Bongo5

Mvua yasababisha kuahirishwa mchezo wa Brazil na Argentina

Argentina Brazil WCup Soccer

Mechi ya kuwania kufuzu kombe la dunia kati ya Brazil na Argentina imeahirishwa sababu ya mvua nyingi kunyesha.

2E646E2F00000578-3316289-image-a-207_1447371403050

Mchezo huo iliokuwa uchezwe usiku wa Alhamisi katika uwanja wa Estadio Antonio Vespucio Libert, mjini Buenos Aires sasa utachezwa Ijumaa usiku.

Sehemu ya kuchezea ya uwanja huo ilijaa maji na mashabiki wa soka pamoja na maafisa wa timu ya Brazil walikwama njiani kwenye foleni sababu ya mvua kubwa iliyonyesha.

2E64683500000578-3316289-image-a-204_1447371387395

Kocha msaidizi wa Brazil Gilmar Rinaldi, alisema “tulikutana na maafisa...

 

11 years ago

TheCitizen

BRAZIL 2014: Germany favourites, but Argentina have firepower

>And here we are, back into history. Twenty four years after Argentina and Germany competed and split back-to-back World Cup finals, the two giants of the beautiful game will light up a glamorous Sunday evening when they meet in the 2014 final.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Aguero fiti kuiimarisha Argentina

>Angel Di Maria ameenguliwa katika kikosi cha Argentina kitakachocheza mechi ya nusu fainali ya Kombe la Dunia dhidi ya Uholanzi, lakini Sergio Aguero yupo fiti kwa ajili ya mchezo huo baada ya kupona maumivu ya misuli.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani