Mvua yasababisha kuahirishwa mchezo wa Brazil na Argentina
Mechi ya kuwania kufuzu kombe la dunia kati ya Brazil na Argentina imeahirishwa sababu ya mvua nyingi kunyesha.
Mchezo huo iliokuwa uchezwe usiku wa Alhamisi katika uwanja wa Estadio Antonio Vespucio Libert, mjini Buenos Aires sasa utachezwa Ijumaa usiku.
Sehemu ya kuchezea ya uwanja huo ilijaa maji na mashabiki wa soka pamoja na maafisa wa timu ya Brazil walikwama njiani kwenye foleni sababu ya mvua kubwa iliyonyesha.
Kocha msaidizi wa Brazil Gilmar Rinaldi, alisema “tulikutana na maafisa...
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi08 Jul
BRAZIL 2014: Mechi Brazil, Argentina yasubiriwa kwa hamu
11 years ago
Habarileo20 Feb
Mvua yasababisha maafa Kilwa
WAKAZI wa Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi, wanakabiliwa na maafa kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha hivi sasa kusababisha mashamba, nyumba za makazi na majengo ya shule za msingi na sekondari, kuharibiwa Diwani wa Kata ya Mandawa Hassani Nalinga, amesema hayo jana kwenye kikao cha Baraza la Madiwani akichangia hoja kutoka kwenye Kamati ya Jamii, Maendeleo na Mazingira.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ct4BimYh7MhI6wJOESxCTnr1QB5pgAaGr7ncX4lKf31DqJpMc2TTd8h*QXczQXclDHhZDIhDBXoJpAzL8U120XrcL8Q*VsPh/IMG20141201WA0004.jpg)
MVUA ILIYONYESHA BAGAMOYO YASABABISHA MAFURIKO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pgHCO1djFo78BQXgSTXc9cu5ODlXk6BR-AcEKHA4UemVAzD1FyTqyxV9nZyJ5q7GmewZdl8Q6GiWVo7JoIts*a7ZIb2sLXXW/IMG20150421WA0036.jpg?width=650)
MVUA KUBWA YASABABISHA MAFURIKO JIJINI MWANZA
10 years ago
GPLMVUA YASABABISHA KERO KWA WANANCHI DAR
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jNrZ7iSqItZIXe4nzqziBEiSVoTsbpjjNom1zGYAW9u72OL*LqmCjLFl*DHc6XL1YICV2LxdfYNx6czt7SRhzuG6ukteQb*r/IMG20141202WA0009.jpg?width=650)
MVUA ILIYONYESHA JIJINI MWANZA YASABABISHA MAFURIKO
11 years ago
GPLMVUA YASABABISHA KURUNDIKANA KWA TAKA MWENGE,DAR
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-FQZcl15_6qo/XmO2M_KR7zI/AAAAAAALhu0/YVqcU7pEUKIEkB1kV4dBaZb71w4TR-cgQCLcBGAsYHQ/s72-c/PIX-01-1-768x432.jpg)
MVUA YASABABISHA VIFO VYA WATU WAWILI MOROGORO
![](https://1.bp.blogspot.com/-FQZcl15_6qo/XmO2M_KR7zI/AAAAAAALhu0/YVqcU7pEUKIEkB1kV4dBaZb71w4TR-cgQCLcBGAsYHQ/s640/PIX-01-1-768x432.jpg)
NA FARIDA SAIDY MOROGORO
Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo Mbalimbali Mkoani Morogoro zimesababisha Vifo vya watu wawili jana March 6 majira ya saa moja usiku katika Mtaa wa Kihimbwa Kata ya Boma Manispaa ya Morogoro.
Afisa Mtendaji wa Kata hiyo Bw Antopas Ally amezungumza hayo na waandishi wa habari mara baada ya kufika Eneo husika na kusema kuwa waliokumbwa na maafa hayo ni mwanaume na mwanamke ambao walikuwa wanapata vinywaji katika duka moja lililopo karibu na daraja mtaani...
11 years ago
GPLMVUA YASABABISHA KERO KWA WAKAZI WA JIJINI DAR