MVUA YASABABISHA VIFO VYA WATU WAWILI MOROGORO
![](https://1.bp.blogspot.com/-FQZcl15_6qo/XmO2M_KR7zI/AAAAAAALhu0/YVqcU7pEUKIEkB1kV4dBaZb71w4TR-cgQCLcBGAsYHQ/s72-c/PIX-01-1-768x432.jpg)
NA FARIDA SAIDY MOROGORO
Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo Mbalimbali Mkoani Morogoro zimesababisha Vifo vya watu wawili jana March 6 majira ya saa moja usiku katika Mtaa wa Kihimbwa Kata ya Boma Manispaa ya Morogoro.
Afisa Mtendaji wa Kata hiyo Bw Antopas Ally amezungumza hayo na waandishi wa habari mara baada ya kufika Eneo husika na kusema kuwa waliokumbwa na maafa hayo ni mwanaume na mwanamke ambao walikuwa wanapata vinywaji katika duka moja lililopo karibu na daraja mtaani...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-A16bJ5lD2Xs/VPb_ZOXtqDI/AAAAAAAAQ0Q/r8_uVPDKRO4/s72-c/IMG_20150304_105648.jpg)
MVUA KUBWA ILIYOAMBATANA NA UPEPO MKALI YASABABISHA VIFO SHINYANGA
Akithibitisha taarifa hizo, kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga, Justus Kamugisha, alisema, maafa hayo yametokea katika kijiji cha Mwakata, kata ya Isaka, wilayani Kahama na kwamba watu wengine 60 wamejeruhiwa vibaya huku mifugo kadhaa, ikiwemo Ng'ombe, Mbuzi na kuku, navyo vimekumbwa na maafa....
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-oYMDY6nEWGE/XniFul7QgOI/AAAAAAACJJ4/7uThD6wtDVQtbUU66Hdw0YN_C1I-GcJGACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200323_115501_517.jpg)
AJALI YA TRENI YA UOKOAJI NA KIBERENGE YASABABISHA VIFO VYA WATUMISHI WATANO WA TRC
![](https://1.bp.blogspot.com/-oYMDY6nEWGE/XniFul7QgOI/AAAAAAACJJ4/7uThD6wtDVQtbUU66Hdw0YN_C1I-GcJGACLcBGAsYHQ/s200/IMG_20200323_115501_517.jpg)
Watumishi watano wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) wamefariki dunia kufuatia ajali ya Treni ya Uokoaji kugongana na Kiberenge No.HDT-3 katika maeneo yaliyopo kati ya stesheni za Mwakinyumbi na Gendagenda, eneo liliilopo katika Reli inayotoka Ruvu Junction mpaka Mruanzi Junction, jana, Machi 22, 2020.
Taarifa ya TRC imewataja waliokufa kuwa ni Ramadhani Gumbo wa DTM Tanga, Injinia Fabiola Moshi wa DME Dar es Salaam, Joseph Komba wa ATM Dar es Salaam, Philip Kajuna...
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Wawili wafa vifo vya utata Dar
WATU wawili wamefariki Dar es Salaam katika matukio tofauti likiwemo la John Andrea (71) mkazi wa Maweni Temeke. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke Englibert Kiondo alisema tukio hilo lilitokea...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-7-17Ut3vwqQ2jT0a5IQmlJ14MUVBJRnmEl0svi-zDO3F6jUJMynaepIE3mjQrrCMMAqBKmH9H8sKlvMVR5UkkDOD3yl*Pzz/Watoto.jpg)
VIFO VYA WATOTO WENGINE WAWILI VYATIKISA DAR!
9 years ago
Habarileo08 Nov
Polisi wachunguza vifo vya utata vya watu 4 Bukoba
JESHI la Polisi mkoani Kagera linachunguza tukio la vifo vya watu wanne waliouawa katika mazingira ya kutatanisha, kilometa 10 kutoka Bukoba Mjini.
9 years ago
BBCSwahili10 Nov
Vita vya jogoo vyasababisha vifo vya watu 10
9 years ago
Mwananchi23 Sep
TOCHI YA MOROGORO : Vifo vya wakulima, wafugaji Moro vitakomeshwa lini?
5 years ago
BBCSwahili23 Apr
Virusi vya Corona: Fahamu nadharia juu ya vifo vya vijana na watu wengine wenye afya njema
10 years ago
BBCSwahili27 Jun
Kuwait yaomboleza vifo vya watu 27