Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MVUA KUBWA ILIYOAMBATANA NA UPEPO MKALI YASABABISHA VIFO SHINYANGA

WATU 39 wamekufa, baada ya kuangukiwa na nyumba zao, kufuatia mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali kunyesha wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga, Jumanne usiku wa kuamkia leo Machi 4, 2015.

Akithibitisha taarifa hizo, kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga, Justus Kamugisha, alisema, maafa hayo yametokea katika kijiji cha Mwakata, kata ya Isaka, wilayani Kahama na kwamba watu wengine 60 wamejeruhiwa vibaya huku mifugo kadhaa, ikiwemo Ng'ombe, Mbuzi na kuku, navyo vimekumbwa na maafa....

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

TMA: Mvua kubwa, upepo mkali waja

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya kuwepo kwa mvua kubwa, upepo mkali na mawimbi makubwa katika Bahari ya Hindi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo...

 

9 years ago

Michuzi

Wakazi wa mkoa wa Iringa wagundua dawa ya kuzuia mvua za mawe pamoja na mvua za upepo mkali

Jeshi la polisi mkoani Tabora limetoa agizo kuwachukuliwa hatua polisi wanaojihusisha na uharifu na wanaotoa siri za jeshi hilo: https://youtu.be/ke0jqZIOm3o
Waumi ni wa pentekoste mkoani  Singida wamefanya ibada maalumu ya kumuombea Rais Magufuli ili aendelee kutumbua majipu: https://youtu.be/1dRmKUcqGHg
Waumini wa dini ya kiislamu wajitoa kusaidia wasiojiweza katika kuadhimisha sikukuu ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) https://youtu.be/-sI1j96PQ4E
Viongozi wa kamati ya Shehia visiwani Unguja...

 

5 years ago

Michuzi

MVUA YASABABISHA VIFO VYA WATU WAWILI MOROGORO


NA FARIDA SAIDY MOROGORO

Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo Mbalimbali Mkoani Morogoro zimesababisha Vifo vya watu wawili jana March 6 majira ya saa moja usiku katika Mtaa wa Kihimbwa Kata ya Boma Manispaa ya Morogoro.

Afisa Mtendaji wa Kata hiyo Bw Antopas Ally amezungumza hayo na waandishi wa habari mara baada ya kufika Eneo husika na kusema kuwa waliokumbwa na maafa hayo ni mwanaume na mwanamke ambao walikuwa wanapata vinywaji katika duka moja lililopo karibu na daraja mtaani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani