Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AJALI YA TRENI YA UOKOAJI NA KIBERENGE YASABABISHA VIFO VYA WATUMISHI WATANO WA TRC

Na Mwandishi Maalum, TRC
Watumishi watano wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) wamefariki dunia kufuatia  ajali ya Treni ya Uokoaji kugongana na Kiberenge No.HDT-3 katika maeneo yaliyopo kati ya stesheni za Mwakinyumbi na Gendagenda, eneo liliilopo katika Reli inayotoka Ruvu Junction  mpaka Mruanzi Junction, jana, Machi 22, 2020.

Taarifa ya TRC imewataja waliokufa kuwa ni Ramadhani Gumbo wa DTM Tanga, Injinia Fabiola Moshi wa DME Dar es Salaam, Joseph Komba wa ATM Dar es Salaam, Philip Kajuna...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Meli ya uokoaji yasababisha vifo

Furaha ya kuokolewa na hatimaye kufika Ulaya yasababisha mamia ya wahamiaji kufa kutokana na kuzama kwa boti yao

 

5 years ago

Michuzi

WATUMISHI WA TRC WALIOFARIKI KATIKA AJALI MKOANI TANGA WAAGWA RASMI


Miili ya wafanyakazi watano wa Shirika la Reli Tanzania – TRC waliofariki kutokana na ajali ya treni ya uokoaji kugongana na Kiberenge katika eneo lililopo kati ya stesheni ya Mwakinyumbi na Gendagenda mkoani Tanga imeagwa rasmi katika hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam leo Machi 24. 2020.

Zoezi hilo la kuaga miili ya mashujaa hao limesimamiwa na uongozi na wafanyakazi wa TRC na kuhudhuriwa na ndugu wa marehemu, Katibu wa Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Humphrey Polepole,...

 

5 years ago

Michuzi

MVUA YASABABISHA VIFO VYA WATU WAWILI MOROGORO


NA FARIDA SAIDY MOROGORO

Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo Mbalimbali Mkoani Morogoro zimesababisha Vifo vya watu wawili jana March 6 majira ya saa moja usiku katika Mtaa wa Kihimbwa Kata ya Boma Manispaa ya Morogoro.

Afisa Mtendaji wa Kata hiyo Bw Antopas Ally amezungumza hayo na waandishi wa habari mara baada ya kufika Eneo husika na kusema kuwa waliokumbwa na maafa hayo ni mwanaume na mwanamke ambao walikuwa wanapata vinywaji katika duka moja lililopo karibu na daraja mtaani...

 

9 years ago

StarTV

 BAKWATA yathibitisha vifo vya watanzania watano

Baraza la waislam Tanzania linaendelea kufuatilia kwa karibu na kufanya utambuzi wa watanzania waliofariki kufuatia tukio lililotokea hivi karibuni na kusababisha mamia ya Mahujaji kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa katika mji wa Minnah nchini Saudi Arabia.

Mpaka sasa Mufti wa Tanzania sheikh Abu Bakari Zuberi amethibitisha mahujaji watano wa kitanzania akiwemo raia mmoja wa Kenya wamepoteza maisha katika tukio hilo.

Ni miaka 25 iliyopita tangu kuripotiwa kutokea kwa matukio mbalimbali ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Utata watanda vifo vya watu watano

Tukio la kuuawa kwa watu watano wa familia moja waliokatwa mapanga na kisha kupoteza maisha kwenye Kitongoji cha Kisesa wilayani Maswa, limegubikwa na utata juu ya watuhumiwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi, Bugando watofautiana vifo vya ajali

Vifo vilivyotokana na ajali ya basi la Luheye vimeongezeka huku idadi ikitofautiana kati ya Hospitali ya Rufani ya Bugando na Polisi mkoani Simiyu.

 

10 years ago

GPL

SEMINA YA MPANGO WA KUPUNGUZA VIFO VYA AJALI YAFANYIKA JIJINI DAR

 Ofisa Mradi wa mpango wa kutekeleza  mkakati wa kupunguza  vifo vinavyotokana na ajali za barabarani kwa kusisitiza usalama  Barabarani unaosimamiwa kwa kushirikiana na  Bloomberg (BIGRS), Shirika la afya Duniani (WHO)  na Serikali ya Tanzania, Mary Kessi (katikati), akitoa mada kwenye semina hiyo iliyowajumuisha wanahabari na wadau wa sekta ya usafiri inayohusu  mpango huo wa utekelezaji wa mkakati huo. ...

 

10 years ago

Vijimambo

SEMINA YA MPANGO WA KUPUNGUZA VIFO VYA AJALI YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

 Ofisa Mradi wa mpango wa kutekeleza  mkakati wa kupunguza  vifo vinavyotokana na ajali za barabarani kwa kusisitiza usalama  Barabarani unaosimamiwa kwa kushirikiana na  Bloomberg (BIGRS), Shirika la afya Duniani (WHO)  na Serikali ya Tanzania, Mary Kessi (katikati), akitoa mada kwenye semina hiyo iliyowajumuisha wanahabari na wadau wa sekta ya usafiri inayohusu  mpango huo wa utekelezaji wa mkakati huo. Mtaalamu Mwelekezi, Callie Long kutoka Canada akitoa mada kwenye semina hiyo. 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani