Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Meli ya uokoaji yasababisha vifo

Furaha ya kuokolewa na hatimaye kufika Ulaya yasababisha mamia ya wahamiaji kufa kutokana na kuzama kwa boti yao

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

AJALI YA TRENI YA UOKOAJI NA KIBERENGE YASABABISHA VIFO VYA WATUMISHI WATANO WA TRC

Na Mwandishi Maalum, TRC
Watumishi watano wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) wamefariki dunia kufuatia  ajali ya Treni ya Uokoaji kugongana na Kiberenge No.HDT-3 katika maeneo yaliyopo kati ya stesheni za Mwakinyumbi na Gendagenda, eneo liliilopo katika Reli inayotoka Ruvu Junction  mpaka Mruanzi Junction, jana, Machi 22, 2020.

Taarifa ya TRC imewataja waliokufa kuwa ni Ramadhani Gumbo wa DTM Tanga, Injinia Fabiola Moshi wa DME Dar es Salaam, Joseph Komba wa ATM Dar es Salaam, Philip Kajuna...

 

10 years ago

BBCSwahili

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Waokoaji wamekuwa wakipambana na upepo mkali pamoja na mawimbi ya bahari gizani kuwakoa karibu abiria 300.

 

5 years ago

Michuzi

MVUA YASABABISHA VIFO VYA WATU WAWILI MOROGORO


NA FARIDA SAIDY MOROGORO

Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo Mbalimbali Mkoani Morogoro zimesababisha Vifo vya watu wawili jana March 6 majira ya saa moja usiku katika Mtaa wa Kihimbwa Kata ya Boma Manispaa ya Morogoro.

Afisa Mtendaji wa Kata hiyo Bw Antopas Ally amezungumza hayo na waandishi wa habari mara baada ya kufika Eneo husika na kusema kuwa waliokumbwa na maafa hayo ni mwanaume na mwanamke ambao walikuwa wanapata vinywaji katika duka moja lililopo karibu na daraja mtaani...

 

10 years ago

Vijimambo

MVUA KUBWA ILIYOAMBATANA NA UPEPO MKALI YASABABISHA VIFO SHINYANGA

WATU 39 wamekufa, baada ya kuangukiwa na nyumba zao, kufuatia mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali kunyesha wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga, Jumanne usiku wa kuamkia leo Machi 4, 2015.

Akithibitisha taarifa hizo, kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga, Justus Kamugisha, alisema, maafa hayo yametokea katika kijiji cha Mwakata, kata ya Isaka, wilayani Kahama na kwamba watu wengine 60 wamejeruhiwa vibaya huku mifugo kadhaa, ikiwemo Ng'ombe, Mbuzi na kuku, navyo vimekumbwa na maafa....

 

5 years ago

BBCSwahili

Vifo vya corona: Kwanini Uingereza imerekodi vifo vingi vya corona Ulaya?

Hadi kufikia sasa Uingereza inaongoza kwa idadi ya walioambukizwa virusi vya corona Ulaya na kote duniani kulingana na takwimu rasmi. Kipi kilichokoseka?

 

10 years ago

BBCSwahili

Shughuli za uokoaji zaendelea China

Wafanyakazi wa vikosi vya uokoaji wanaendelea na kazi ya kuwatafuta watu waliozama katika meli moja nchini humo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Shughuli ya uokoaji yaendelea Korea

Waokoaji waendelea kutafuta takriban abiria 289 waliokuwa ndani ya ferry iliyozama Korea Kusini

 

11 years ago

Mwananchi

Jukumu la uokoaji kukabidhiwa JWTZ

Serikali imeliambia Bunge kuwa, iko katika mchakato wa kuifanyia marekebisho Sheria ya Maafa ili kuliondoa suala la uokoaji kutoka Jeshi la Zimamoto kwenda Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).

 

11 years ago

BBCSwahili

Zoezi la uokoaji lasitishwa A.kusini

Operesheni ya kuokoa wachimba madini waliokwama kwenye shimo la mgodi yasitishwa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani