Shughuli za uokoaji zaendelea China
Wafanyakazi wa vikosi vya uokoaji wanaendelea na kazi ya kuwatafuta watu waliozama katika meli moja nchini humo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili17 Apr
Shughuli ya uokoaji yaendelea Korea
Waokoaji waendelea kutafuta takriban abiria 289 waliokuwa ndani ya ferry iliyozama Korea Kusini
11 years ago
BBCSwahili21 Mar
Malaysia:Shughuli zaendelea kuisaka ndege
Ndege na meli kutoka nchi mbali mbali zinaendelea kutafuta mabaki ambayo huenda yanatokana na ndege ya Malaysia iliyopotea nchini Australia
10 years ago
Vijimambo25 Mar
Shughuli ya uokoaji zimeanza tena Ufaransa
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/03/25/150325053644_germanwings_rescue_teams_624x351_getty.jpg)
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/625/amz/worldservice/live/assets/images/2015/03/24/150324140306_airbus_a320__640x360_afp.jpg)
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/625/amz/worldservice/live/assets/images/2015/03/24/150324173423_alps_plane_crash_scene_512x288_reuters.jpg)
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/625/amz/worldservice/live/assets/images/2015/03/24/150324213857_germanywings_plane_france_vigil_624x351_afp.jpg)
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/625/amz/worldservice/live/assets/images/2015/03/24/150324210148_france_624x351_epa.jpg)
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/625/amz/worldservice/live/assets/images/2015/03/24/150324173854_alps_plane_crash_512x288_epa.jpg)
Polisi nchini Ufaransa wameeleza kuwa hali mbaya ya hewa itakwamisha zoezi la utafutaji miili ya watu wapatao mia moja na hamsini katika eneo la ajali ya ndege na hivyo kuchukuwa siku kadhaa.
Siku ya jana ndege ya Ujerumani ilianguka katika eneo la milima ya Alps huko Ufaransa na...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-xnYZp_a4pg0/VgD_bGg5h2I/AAAAAAAH6wg/cOCtZwBtpyw/s72-c/unnamed.jpg)
KAMPENI JIMBO LA CHALINZE ZAENDELEA
Na John Gagarini, Mandela MGOMBEA Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia Chama Cha Mapinduzi Ridhiwani Kikwete amesema kuwa endapo atafanikiwa kuchaguliwa kwenye nafasi hiyo atahakikisha zahanati inajengwa kwenye Kijiji cha Kibaoni ili kuwaondolea adha wananchi wa kijiji hicho. Aliyasema hayo jana kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Kijijini hapo kata ya Mandela na kusema kuwa ilani ya chama anasema kila kijiji lazima kiwe na zahanati huku kila kata ikitakiwa kuwa na kituo cha afya ili...
10 years ago
BBCSwahili02 Jan
Harakati za kuokoa meli zaendelea Italia
Walinzi wa pwani ya Italia wanaendelea na harakati za kuwaokoa wafanyabiashara kutoka meli moja iliyotelekezwa
10 years ago
KwanzaJamii24 Sep
Sanaa za utamaduni wa Tanzania zaendelea kukubalika
Marehemu George Lilanga
Na Gaudensia Mngumi
Licha ya kuwapo mawimbi ya utandawazi yanayoyumbisha sanaa za ufundi za tamaduni mbalimbali dunia, Tanzania imeendelea kuwa imara kwani sanaa zenye utamaduni wake zimeendelea kukubalika maeneo mengi duniani.
Ndiyo maana michoro na vinyago vya marehemu George Lilanga na Edward Tinga Tinga vinaonyeshwa katika mataifa mengi duniani.
Hata hivyo kazi za wasanii hao zina thamani zaidi ng’ambo hasa Ulaya kuliko nchini.
Profesa wa Sanaa kutoka...
10 years ago
BBCSwahili31 Jan
Ebola:Shule zaendelea kufungwa Liberia
Liberia imehairisha kufunguliwa kwa shule nchini kutokana na sababu kuwa hazijajiandaa kikamilifu kuzuia kusambaa kwa ebola.
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-xSW3MOal_2Q/VgYnBBSi0mI/AAAAAAAH7OE/1f9qS-DnCHg/s72-c/unnamed%2B%252832%2529.jpg)
KAMAPENI ZA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE ZAENDELEA
Na John Gagarini, Chalinze HALMASHAURI ya wilaya ya Bagamoyo imeshauriwa kuisitisha mikata ya umiliki wa ardhi iliyochukuliwa na wawawkezaji ambao hawajaiendeleza ardhi hiyo kwa kipindi cha zaidi ya miaka 15 wairejeshe kwenye serikali za vijiji kwa ajili ya matumizi ya umma. Hayo yalisemwa na mgombea Ubunge Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ridhiwani Kikwete wakati wa mikutano ya hadhara ya kampeni kwenye Vijiji vya Makombe na Kinzagu kwenye kata ya Lugoba na kusema...
9 years ago
CCM Blog![](http://3.bp.blogspot.com/-35NRKFSyvH0/VkRbknBg9-I/AAAAAAAArNI/iF5CGrulwDc/s72-c/1.jpg)
FOMU ZA USPIKA ZAENDELEA KUCHUKULIWA LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-35NRKFSyvH0/VkRbknBg9-I/AAAAAAAArNI/iF5CGrulwDc/s640/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-z7y6hMhCda8/VkRbtx0wgCI/AAAAAAAArOA/dYFde3jbJK0/s640/5.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-eeZwT0-Ara8/VkRbss3OsfI/AAAAAAAArN4/jmQ1PIhn6yI/s640/6.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania