WATUMISHI WA TRC WALIOFARIKI KATIKA AJALI MKOANI TANGA WAAGWA RASMI
Miili ya wafanyakazi watano wa Shirika la Reli Tanzania – TRC waliofariki kutokana na ajali ya treni ya uokoaji kugongana na Kiberenge katika eneo lililopo kati ya stesheni ya Mwakinyumbi na Gendagenda mkoani Tanga imeagwa rasmi katika hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam leo Machi 24. 2020.
Zoezi hilo la kuaga miili ya mashujaa hao limesimamiwa na uongozi na wafanyakazi wa TRC na kuhudhuriwa na ndugu wa marehemu, Katibu wa Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Humphrey Polepole,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziASKARI POLISI WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA GARI WAAGWA LEO MKOANI DODOMA TAYALI KWA MAZISHI
Akiongea kwa masikitiko Kamishna Msaidi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME amewashukuru watu waliojitokeza kuungana pamoja kuaga miili ya Askari hao.
Pia amewataka madereva wote kuwa waangalifu wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto na kuzingatia sheria za usalama barabarani ili kuepuka ajali zinazoweza kujitokeza za namna hii. Miili ya Askari...
10 years ago
VijimamboWALIOFARIKI KATIKA AJALI WAZIKWA PAMOJA MKOANI MOROGORO
5 years ago
CCM BlogAJALI YA TRENI YA UOKOAJI NA KIBERENGE YASABABISHA VIFO VYA WATUMISHI WATANO WA TRC
Watumishi watano wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) wamefariki dunia kufuatia ajali ya Treni ya Uokoaji kugongana na Kiberenge No.HDT-3 katika maeneo yaliyopo kati ya stesheni za Mwakinyumbi na Gendagenda, eneo liliilopo katika Reli inayotoka Ruvu Junction mpaka Mruanzi Junction, jana, Machi 22, 2020.
Taarifa ya TRC imewataja waliokufa kuwa ni Ramadhani Gumbo wa DTM Tanga, Injinia Fabiola Moshi wa DME Dar es Salaam, Joseph Komba wa ATM Dar es Salaam, Philip Kajuna...
10 years ago
GPLWALIOFARIKI KWA RADI MKOANI KIGOMA WAAGWA
10 years ago
MichuziNEWZZ ALERT; WALIOFARIKI KWA RADI MKOANI KIGOMA WAAGWA KWA MAZISHI MCHANA HUU.
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma,Kanali Mstaafu Issa Machibya akisoma salamu za rambi rambi za mkoa wakati wa kuaga miili ya Wanafunzi na...
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS AONGOZA MAELFU KATIKA MAZISHI YA WATU SITA WA FAMILIA MOJA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA MOTO
Baba wa watoto wawili waliokufa katika ajali ya moto, Emmanuel Mpila akiweka shada la maua katika kaburi la mmoja wa watoto wake, Pauline.
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akiweka shada la maua. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiweka shada la maua. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Mark Mwandosya akiweka shada la maua. Jaji Mkuu mstaafu, Agustino Ramadhani akiweka shada la maua.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
11 years ago
MichuziBALOZI KAMALA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA NDEGE YA MALAYSIA
9 years ago
Dewji Blog10 Oct
Makatibu wakuu wastaafu katika wizara mbalimbali waagwa rasmi Jijini Dar
Naibu Katibu Katibu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel akibadilishana mawazo na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Seth Kamuhanda aliyestaafu kwa mujibu wa sheria wakati wa hafla ya kuwaaga Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali waliomaliza muda wao wa Utumishi wa Umma. Hafla hiyo ilifanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro jana (Ijumaa Oktoba 9, 2015) Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akimkabidhi Cheti...