Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


 BAKWATA yathibitisha vifo vya watanzania watano

Baraza la waislam Tanzania linaendelea kufuatilia kwa karibu na kufanya utambuzi wa watanzania waliofariki kufuatia tukio lililotokea hivi karibuni na kusababisha mamia ya Mahujaji kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa katika mji wa Minnah nchini Saudi Arabia.

Mpaka sasa Mufti wa Tanzania sheikh Abu Bakari Zuberi amethibitisha mahujaji watano wa kitanzania akiwemo raia mmoja wa Kenya wamepoteza maisha katika tukio hilo.

Ni miaka 25 iliyopita tangu kuripotiwa kutokea kwa matukio mbalimbali ya...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Utata watanda vifo vya watu watano

Tukio la kuuawa kwa watu watano wa familia moja waliokatwa mapanga na kisha kupoteza maisha kwenye Kitongoji cha Kisesa wilayani Maswa, limegubikwa na utata juu ya watuhumiwa.

 

5 years ago

CCM Blog

AJALI YA TRENI YA UOKOAJI NA KIBERENGE YASABABISHA VIFO VYA WATUMISHI WATANO WA TRC

Na Mwandishi Maalum, TRC
Watumishi watano wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) wamefariki dunia kufuatia  ajali ya Treni ya Uokoaji kugongana na Kiberenge No.HDT-3 katika maeneo yaliyopo kati ya stesheni za Mwakinyumbi na Gendagenda, eneo liliilopo katika Reli inayotoka Ruvu Junction  mpaka Mruanzi Junction, jana, Machi 22, 2020.

Taarifa ya TRC imewataja waliokufa kuwa ni Ramadhani Gumbo wa DTM Tanga, Injinia Fabiola Moshi wa DME Dar es Salaam, Joseph Komba wa ATM Dar es Salaam, Philip Kajuna...

 

5 years ago

BBCSwahili

Vifo vya corona: Kwanini Uingereza imerekodi vifo vingi vya corona Ulaya?

Hadi kufikia sasa Uingereza inaongoza kwa idadi ya walioambukizwa virusi vya corona Ulaya na kote duniani kulingana na takwimu rasmi. Kipi kilichokoseka?

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yathibitisha Watanzania 11 kushikiliwa nchini Madagascar

Serikali imethibitisha Watanzania 11 kushikiliwa nchini Madagascar wakituhumiwa kukutwa katika meli iliyosheheni magogo 2,130 ya miti adimu na ghali ambayo imepigwa marufuku kuvunwa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Algeria yathibitisha kupata maambukizi

Waziri wa Afya nchini Algeria imethibitisha kwamba nchi hiyo imepokea kisa cha kwanza cha Corona

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Kenya yathibitisha wagonjwa 23 wapya

Kati ya idadi hiyo wagonjwa 12 wameripotiwa kutoka Mombasa , sita kutoka Mandera wanne kutoka Nairobi na mmoja kutoka Kajiado.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Tanzania yathibitisha wagonjwa 29 wapya

Wagonjwa wapya 29 wathibitishwa kuwa na virusi vya corona Tanzania

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Tanzania yathibitisha wagonjwa 19 wa virusi vya corona

Mamlaka za Tanzania zathibitisha wagonjwa wapya watano.

 

9 years ago

Habarileo

Polisi wachunguza vifo vya utata vya watu 4 Bukoba

JESHI la Polisi mkoani Kagera linachunguza tukio la vifo vya watu wanne waliouawa katika mazingira ya kutatanisha, kilometa 10 kutoka Bukoba Mjini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani