Virusi vya Corona: Algeria yathibitisha kupata maambukizi
Waziri wa Afya nchini Algeria imethibitisha kwamba nchi hiyo imepokea kisa cha kwanza cha Corona
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziCoronavirus: Algeria yathibitisha kupata maambukizi
Waziri wa Afya nchini Algeria amethibitisha kwamba nchi hiyo imepokea kisa cha kwanza cha coronavirus katika taarifa iliyotolewa na runinga inayomilikuwa na serikali, ENTV Jumanne jioni.
Waziri Abdel Rahman Ben Bouzid alisema kuwa mgonjwa huyo ni mwanamume raia wa Italia aliyewasili nchini humo Februari 17, kulingana na shirika la habari la Reuters.
Mgonjwa huyo ametengwa kwa sasa.
Algeria imekuwa nchi ya pili Afrika kuthibitisha kupata mgonjwa wa virusi vya Corona.
Misri ilikuwa ya kwanza...
Waziri Abdel Rahman Ben Bouzid alisema kuwa mgonjwa huyo ni mwanamume raia wa Italia aliyewasili nchini humo Februari 17, kulingana na shirika la habari la Reuters.
Mgonjwa huyo ametengwa kwa sasa.
Algeria imekuwa nchi ya pili Afrika kuthibitisha kupata mgonjwa wa virusi vya Corona.
Misri ilikuwa ya kwanza...
5 years ago
MichuziTUMEANZA KUPATA MAAMBUKIZI YA NDANI YA VIRUSI VYA CORONA - UMMY
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema Tanzania imeanza kupata maambukizi ya Virusi vya Corona ya ndani kuanzia maambukizi yaliyopatikana tarehe 08/04/2020. Amesema kuwa tahadhari kubwa inahitajika katika kuhakikisha kuzuia kuendelea kwa maambukizi ya kijamii itasababisha kuongezekana kwa kasi ya maambukizi katika jamii. Ameyazungumza hayo leo jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano na viongozi wakuu wa madhehebu ya dini katika kujadiliana namna ya...
5 years ago
BBCSwahili28 Apr
Virusi vya corona: Je unaweza kupata maambukizi mara mbili?
Je unaweza kupata maambukizi ya virusi vya corona kwa mara ya pili? Kwanini wengine wanaugua zaidi kuliko wengine? Je ugonjwa huu utakuwa unarejea kila msimu wa baridi? Chanjo itafanya kazi? Unawezaje kukabiliana na virusi kwa kipindi cha muda mrefu?
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Daktari Li Wenliang apoteza maisha baada ya kupata maambukizi ya virusi vya corona
Li Wenliang aliwatahadharisha madaktari wenzake mwezi Desemba, lakini polisi walimwambia aache kusambaza habari za ''uzushi''
5 years ago
BBCSwahili28 Apr
Virusi vya corona: Mikutano mikubwa ya Kampeni za uchaguzi yaibua hofu ya maambukizi ya virusi vya corona
Picha zinazoonyesha mikusanyiko ya maelfu ya watu waliokusanyika Jumatatu kwa uzinduzi wa mikutano ya kampeni za kisiasa nchini zimeibua wasi wasi mkubwa ya kuongezeka kwa maambukizi ya virusi vya corona kabla ya taifa hilo kufanya uchaguzi unaotarajiwa tarehe 20 Mei mwaka huu.
5 years ago
CCM BlogSERIKALI: TANZANIA IMEANZA KUPATA MAAMBUKIZI YA NDANI YA VIRUSI VYA CORONA, ITABIDI TUFANYE TAHADHARI ZAIDI KUJIKINGA KWA KUVAA MASKI
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akizungumza na viongozi wa diniNa Mwandishi Wetu WAMJW, Dar es SalaamWaziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema Tanzania imeanza kupata maambukizi ya Virusi vya Corona ya ndani kuanzia maambukizi yaliyopatika tarehe 08/04/2020.Amesema kuwa tahadhari kubwa inahitajika katika kuhakikisha kuzuia kuendelea kwa maambukizi ya kijamii itasababisha kuongezekana kwa kasi ya maambukizi katika...
5 years ago
BBCSwahili05 Apr
Virusi vya Corona: Kenya yathibitisha wagonjwa wapya 16 wa corona
Kenya imethibitisha kuwa na wagonjwa 142 wa corona baada ya kufanya vipimo watu 530.
5 years ago
BBCSwahili19 Jun
Virusi vya corona: Kuvuta maji ya choo 'kunaweza kurusha virusi vya maambukizi futi 3 hewani'
Kusukuma maji ya choo cha ndani kunaweza kusababisha wingu ambalo la sprey ambalo linaweza kuvutwa kwa pua na linaweza kusambaza maambukizi, kama vile virusi vya corona, wanasema watafiti.
5 years ago
BBCSwahili15 Apr
Virusi vya Corona: Tanzania yathibitisha wagonjwa 29 wapya
Wagonjwa wapya 29 wathibitishwa kuwa na virusi vya corona Tanzania
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania