Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coronavirus: Algeria yathibitisha kupata maambukizi

Waziri wa Afya nchini Algeria amethibitisha kwamba nchi hiyo imepokea kisa cha kwanza cha coronavirus katika taarifa iliyotolewa na runinga inayomilikuwa na serikali, ENTV Jumanne jioni.

Waziri Abdel Rahman Ben Bouzid alisema kuwa mgonjwa huyo ni mwanamume raia wa Italia aliyewasili nchini humo Februari 17, kulingana na shirika la habari la Reuters.

Mgonjwa huyo ametengwa kwa sasa.

Algeria imekuwa nchi ya pili Afrika kuthibitisha kupata mgonjwa wa virusi vya Corona.

Misri ilikuwa ya kwanza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Algeria yathibitisha kupata maambukizi

Waziri wa Afya nchini Algeria imethibitisha kwamba nchi hiyo imepokea kisa cha kwanza cha Corona

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Je ndevu zinakuhatarisha kupata maambukizi ya ugonjwa huu?

Madai ya kushangaza kwamba wanaume wanaonywa kunyoa ndevu zao ili kujilinda dhidi ya virusi vya corona yamesambaa katika mitandao ya kijamii.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Je unaweza kupata maambukizi ya virusi vya Covid-19 mara mbili?

Baadhi ya wagonjwa wamepona virusi vya Covid-19, baada ya vipimo kuonesha kuwa hawana coronavirus, lakini je wanaweza kupatikana na virusi vya Covid-19 baadae?. Maambukizi ya coronavirus, ambayo yanadalili kama ya mafua ya kawaida, kwa kawaida husababisha mgonjwa kuwa na kinga ya mwili. Je kuna tofauti na virusi hivi?

 

5 years ago

CCM Blog

TANZANIA YATHIBITISHA KUPATA MGONJWA W CORONA

 WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, amethibitisha kuwa Tanzania ina mgonjwa mmoja mwanamke (46) mwenye virusi vya Corona, aliyeingia nchini kwa ndege ya Rwandair kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) akitokea nchini Ubelgiji.
Waziri huyo ameyasema hayo leo Jumatatu Machi 16, 2020, alipokutana na waandishi wa habari katika ofisi za Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu Tafiti za Tiba (NIMRI).
Kwa mujibu wa taarifa kwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Uganda yathibitisha kesi 18 za coronavirus

Uganda imeripoti kuwa na kesi mpya nne za maambukizi ya virusi vya corona na hivyo kufanya taifa hilo kuwa na jumla ya maambukizi ya wagonjwa 18.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Zaidi ya maambukizi 10,000 kwa siku moja Marekani wakati Uhispania ikiongoza kwa maambukizi ya corona

Takwimu za sasa za ugonjwa wa Covid-19 zaonyesha Uhispania kuongoza huku Marekani maambukizi yaongezeka kwa kasi ndani ya siku moja tu.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Uganda yathibitisha kuwa na wagonjwa 44 wa Covid 19

Rais wa Uganda Yoweri Museveni atangaza amri ya kutotoka nje kwa siku 14 kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Tanzania yathibitisha kuwa wagonjwa 13 wa corona

Waziri wa afya nchini Tanzania, bi. Ummy Mwalimu wagonjwa 12 wa ugonjwa wa corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Visa vya maambukizi ya Coronavirus vyaongezeka Kenya na Uganda

Kenya imethibitisha visa vingine saba vya maambukizi ya ugonjwa wa coronavirus, huku Uganda ikiandikisha visa vingine vitano

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani