TANZANIA YATHIBITISHA KUPATA MGONJWA W CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-48q0AO25HOo/Xm96j856FJI/AAAAAAAC1CM/VXxWvEtD27chqtpHIv14GQjyDiVLU1dTgCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200316_150648.jpg)
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, amethibitisha kuwa Tanzania ina mgonjwa mmoja mwanamke (46) mwenye virusi vya Corona, aliyeingia nchini kwa ndege ya Rwandair kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) akitokea nchini Ubelgiji.
Waziri huyo ameyasema hayo leo Jumatatu Machi 16, 2020, alipokutana na waandishi wa habari katika ofisi za Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu Tafiti za Tiba (NIMRI).
Kwa mujibu wa taarifa kwa...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili05 Apr
Virusi vya Corona: Sudan Kusini yathibitisha kuwa na mgonjwa wa COVID-19
5 years ago
MichuziWIZARA YA AFYA YATHIBITISHA KUWEPO KWA MGONJWA MMOJA WA CORONA,YAWATAHADHARISHA WANANCHI
Serikali kupitia Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mhe.Ummy Mwalimu imethibitisha kuwepo kwa mgonjwa mmoja wa Corona ambapo amewasisitiza wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa huo.
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam, Waziri Ummy alisema kuwa Machi 15, 2020 aligundulika mgonjwa mmoja mwanamke mwenye umri wa miaka 46 ambaye aliwasili na ndege ya Rwandair akitokea nchini Ubelgiji.
“Mwanamke huyu aliondoka nchini Machi 5, 2020 na...
5 years ago
BBCSwahili26 Feb
Virusi vya Corona: Algeria yathibitisha kupata maambukizi
5 years ago
BBCSwahili26 Mar
Coronavirus: Tanzania yathibitisha kuwa wagonjwa 13 wa corona
5 years ago
BBCSwahili15 Apr
Virusi vya Corona: Tanzania yathibitisha wagonjwa 29 wapya
5 years ago
BBCSwahili30 Mar
Coronavirus: Tanzania yathibitisha wagonjwa 19 wa virusi vya corona
5 years ago
BBCSwahili16 Mar
Tanzania yathibitisha kuwa na kisa kimoja cha virusi vya corona
5 years ago
BBCSwahili05 Apr
Virusi vya Corona: Kenya yathibitisha wagonjwa wapya 16 wa corona
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-uKe3PgjqYUw/XlbWpwJvTnI/AAAAAAALfog/DfI79xb-cIgUBHULvM1mW0SGvZgYFjlFQCLcBGAsYHQ/s72-c/_111042699_coronavirus976.jpg)
Coronavirus: Algeria yathibitisha kupata maambukizi
![](https://1.bp.blogspot.com/-uKe3PgjqYUw/XlbWpwJvTnI/AAAAAAALfog/DfI79xb-cIgUBHULvM1mW0SGvZgYFjlFQCLcBGAsYHQ/s640/_111042699_coronavirus976.jpg)
Waziri Abdel Rahman Ben Bouzid alisema kuwa mgonjwa huyo ni mwanamume raia wa Italia aliyewasili nchini humo Februari 17, kulingana na shirika la habari la Reuters.
Mgonjwa huyo ametengwa kwa sasa.
Algeria imekuwa nchi ya pili Afrika kuthibitisha kupata mgonjwa wa virusi vya Corona.
Misri ilikuwa ya kwanza...