WIZARA YA AFYA YATHIBITISHA KUWEPO KWA MGONJWA MMOJA WA CORONA,YAWATAHADHARISHA WANANCHI
Serikali kupitia Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mhe.Ummy Mwalimu imethibitisha kuwepo kwa mgonjwa mmoja wa Corona ambapo amewasisitiza wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa huo.
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam, Waziri Ummy alisema kuwa Machi 15, 2020 aligundulika mgonjwa mmoja mwanamke mwenye umri wa miaka 46 ambaye aliwasili na ndege ya Rwandair akitokea nchini Ubelgiji.
“Mwanamke huyu aliondoka nchini Machi 5, 2020 na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
5 years ago
CCM Blog
TANZANIA YATHIBITISHA KUPATA MGONJWA W CORONA

Waziri huyo ameyasema hayo leo Jumatatu Machi 16, 2020, alipokutana na waandishi wa habari katika ofisi za Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu Tafiti za Tiba (NIMRI).
Kwa mujibu wa taarifa kwa...
5 years ago
BBCSwahili05 Apr
Virusi vya Corona: Sudan Kusini yathibitisha kuwa na mgonjwa wa COVID-19
5 years ago
Michuzi
Wizara ya afya yatoa ufafanuzi maswali ya Wananchi kuhusu Corona

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema amekuwa akipokea maoni, maswali na ushauri kutoka kwa wananchi wakitaka kujua jitihada mbalimbali za Serikali za kukabiliana na homa kali ya mapafu na amewaagiza wataalamu wake kuanza kujibu maswali.
Waziri Ummy amesema maswali, maoni na ushauri huo unatoka kwa wananchi kupitia vyombo vya habari, mitandao ya kijamii na kituo cha wizara cha kupokea simu kuhusu ugonjwa wa homa ya...
5 years ago
Michuzi
5 years ago
Michuzi
WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU ATHIBITISHA UWEPO WA MGONJWA WA KWANZA WA CORONA NCHINI

Na Avila Kakingo, Globu ya jamiiWAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema kuna mtu mmoja mwenye umri wa miaka 46 ameainika kuwa na virusi vya Corona Covid 19 ambaye aliwasili nchini na ndege ya Rwandan air akitokea nchini ubelgiji.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam Waziri Ummy amesema kuwa mtu huyo ambaye ni mwanamke raia wa Tanzania aliondoka nchini, Machi 3, 2020,ambapo kati ya Machi 5 hadi Machi13 alitembelea nchi za Swiden na Denmark na kurudi...
5 years ago
Michuzi
5 years ago
Michuzi
SMZA YAFAFANUA ILIVYOFANIKIWA KUKABILIANA KWA KIASI KIKUBWA NA CORONA,YATOA MAELEKEZO WIZARA YA ELIMU NA AFYA
5 years ago
Michuzi
NI KWELI WATANZANIA KUNA CORONA... TUSIKILIZE MAELEKEZO YA VIONGOZI WA SERIKALI, WIZARA YA AFYA KUEPUKA KUENEA KWA MAAMBUKIZI
TUMESHAAMBIWA hakuna sababu ya kutishana kuhusu ugonjwa wa Corona lakini tunahimizwa kuchukua tahadhari kwa kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima na kunawa mikono mara kwa mara.
Asante Rais Dk.John Magufuli kwa maelekezo na maagizo yako kwetu Watanzania katika kipindi hiki ambacho dunia inalia kuhusu Corona.Ugonjwa ambao ulianzia nchini China na kisha kusambaa nchi mbalimbali duniani.
Kwa Tanzania kama zilivyo nchini nyingine duniani nayo imekumbwa na...