Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NI KWELI WATANZANIA KUNA CORONA... TUSIKILIZE MAELEKEZO YA VIONGOZI WA SERIKALI, WIZARA YA AFYA KUEPUKA KUENEA KWA MAAMBUKIZI

Na Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamii
TUMESHAAMBIWA hakuna sababu ya kutishana kuhusu ugonjwa wa Corona lakini tunahimizwa kuchukua tahadhari kwa kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima na kunawa mikono mara kwa mara.
Asante Rais Dk.John Magufuli kwa maelekezo na maagizo yako kwetu Watanzania katika kipindi hiki ambacho dunia inalia kuhusu Corona.Ugonjwa ambao ulianzia nchini China na kisha kusambaa nchi mbalimbali duniani.
Kwa Tanzania kama zilivyo nchini nyingine duniani nayo imekumbwa na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SMZA YAFAFANUA ILIVYOFANIKIWA KUKABILIANA KWA KIASI KIKUBWA NA CORONA,YATOA MAELEKEZO WIZARA YA ELIMU NA AFYA

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imechukuwa uamuzi wa kulegeza baadhi ya mambo mambo kumi yaliyowekwa baada ya kufanikiwa kukabiliana kwa kiasi kikubwa na mripuko wa Virusi vya Coroma vilivyoleta mtafaruki katika Mataifa mbali mbali Duniani.Uamuzi huo wa SMZ Unaungana na ule uliochukuliwa na Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa kuviruhusu Vyuo vyote vya Elimu ya juu kuendelea na Programu zao kama kawaida kwa upande wa Zanzibar kuanzia Tarehe 1 Juni 2020.Akitoa Taarifa ya Serikali...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Hifadhi nyingi barani Afrika zafungwa kuepuka maambukizi kwa nyani

Haijulikani kama nyani hao wanaweza kuambukizwa virusi vya corona, lakini kuna wasiwasi kuwa wanyama hao wanaweza kuwa hatarini sawa na binaadamu.

 

5 years ago

CCM Blog

MAJAJI 125 WA MABARA MANNE DUNIANI WAFANYA MKUTANO KWA NJIA YA MTANDAO KUJADILI UTOAJI HAKI KWA TEHAMA KUEPUKA MAAMBUKIZI YA CORONA




Na Magreth Kinabo-Mahakama
Majaji 125 kutoka katika mabara manne duniani wamefanya mkutano kwa njia ya mtandao kujadili jinsi ya kuendelea na shughuli za utoaji haki kwa kutumia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ili kuepuka kuenea kwa maambukizi ya virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa homa ya mapafu (COVID 19).
Mkutano huo uliandaliwa na Shirika la Miliki Bunifu Duniani (WIPO) ambalo liko chini ya Umoja wa Mataifa (UN), uliofanyika Makao Makuu ya shirika hilo Geneva, kwa njia...

 

5 years ago

Michuzi

MAJAJI 125 KUTOKA MABARA MANNE DUNIANI WAFANYA MKUTANO KWA NJIA YA MTANDAO KUJADILI UTOAJI HAKI KWA TEHAMA KUEPUKA MAAMBUKIZI YA CORONA (COVID-19)



Na Magreth Kinabo-Mahakama

Majaji 125 kutoka katika mabara manne duniani wamefanya mkutano kwa njia ya mtandao kujadili jinsi ya kuendelea na shughuli za utoaji haki kwa kutumia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ili kuepuka kuenea kwa maambukizi ya virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa homa ya mapafu (COVID 19).

Mkutano huo uliandaliwa na Shirika la Miliki Bunifu Duniani (WIPO) ambalo liko chini ya Umoja wa Mataifa (UN), uliofanyika Makao Makuu ya shirika hilo Geneva, kwa njia...

 

5 years ago

CCM Blog

CHAMA CHA WATAALAM WA AFYA YA KINYWA NA MENO TANZANIA (TDA) CHATOA MAELEKEZO KWA WANACHAMA WAKE KUJIKINGA NA CORONA

Ndugu Wanachama na watoa huduma wa Afya ya Kinywa na Meno. Hapa kwetu Tanzania kama ilivyo nchi zingine za Africa mashariki virusi hivi bado havijaingia ...Hata hivyo lazima tukumbuke kuwa, Dunia ya leo ni kijiji...Hivyo lazima tujipange na kujihadhari kwa maambukizi ya COVID-19 na kusambaa kwake. 
Kwa sisi madaktari na wahudumu wa afya ya kinywa na meno tujikumbushe yafuatayo:

1. Kama ilivyo ada tuendelee kutumia vikinga maaambukizo kama mask, gloves, mawani, nk wakati tunahudumia wagonjwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Maharusi wafunga ndoa mtandaoni kuepuka maambukizi

Maharusi Zoe Davies na Tom Jackson ni baadhi ya wanandoa ambao harusi zao hazikufanyika kufuatia janga la corona

 

5 years ago

Michuzi

Kuepuka maambukizi ya Corona mawakili sasa kuwasiliana na wateja wao kupitia Luninga

KUFUATIA Jeshi la Magereza nchini kuzuia huduma za watu kwenda gerezani kusalimia mahabusu kwa sababu ya kuepuka maambuzi ya ugonjwa wa Corona, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema itaruhusu mawakili wa kujitegemea kuongea na wateja wao kupitia video conference endapo watawasilisha maombi maalumu.
Hakimu Mkazi  Mwandamizi, Mfawidhi wa mahakama hiyo Godfrey Isaya amesema hayo leo Machi 25, 2020 alipokuwa akisiliza kesi ya uhujumu uchumi namba 8 ya mwaka 2020 kwa njia ya video...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani