SMZA YAFAFANUA ILIVYOFANIKIWA KUKABILIANA KWA KIASI KIKUBWA NA CORONA,YATOA MAELEKEZO WIZARA YA ELIMU NA AFYA
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imechukuwa uamuzi wa kulegeza baadhi ya mambo mambo kumi yaliyowekwa baada ya kufanikiwa kukabiliana kwa kiasi kikubwa na mripuko wa Virusi vya Coroma vilivyoleta mtafaruki katika Mataifa mbali mbali Duniani.Uamuzi huo wa SMZ Unaungana na ule uliochukuliwa na Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa kuviruhusu Vyuo vyote vya Elimu ya juu kuendelea na Programu zao kama kawaida kwa upande wa Zanzibar kuanzia Tarehe 1 Juni 2020.Akitoa Taarifa ya Serikali...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi5 years ago
MichuziNI KWELI WATANZANIA KUNA CORONA... TUSIKILIZE MAELEKEZO YA VIONGOZI WA SERIKALI, WIZARA YA AFYA KUEPUKA KUENEA KWA MAAMBUKIZI
TUMESHAAMBIWA hakuna sababu ya kutishana kuhusu ugonjwa wa Corona lakini tunahimizwa kuchukua tahadhari kwa kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima na kunawa mikono mara kwa mara.
Asante Rais Dk.John Magufuli kwa maelekezo na maagizo yako kwetu Watanzania katika kipindi hiki ambacho dunia inalia kuhusu Corona.Ugonjwa ambao ulianzia nchini China na kisha kusambaa nchi mbalimbali duniani.
Kwa Tanzania kama zilivyo nchini nyingine duniani nayo imekumbwa na...
9 years ago
StarTV05 Oct
Maendeleo duni ya elimu Jamii yadaiwa kuchangia kwa kiasi kikubwa
Sekta ya elimu wilayani Geita inakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazorudisha nyuma maendeleo ya sekta jamii ikidaiwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kwa sababu ya kutokuwa na utayari wa kushirikiana na Serikali kuondoa mapungufu yaliyoko ndani ya uwezo wao.
Utafiti uliofanywa na shirika la Nelico kwa ufadhili wa Pestalozzi Children’s Foundation imebaini mazingira yasiyo rafiki kama ubovu wa miundombinu, ukosefu wa vyoo bora na upungufu wa madawati na vyoo bado kikwazo kikubwa ambacho...
10 years ago
MichuziWIZARA YA AFYA ZANZIBAR YATOA ELIMU YA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA KWA WAANDISHI WA HABARI
5 years ago
MichuziDOCTORS WITH AFRICA YATOA ELIMU YA CORONA KWA WATOA HUDUMA ZA AFYA NGAZI YA JAMII SHINYANGA
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dr. Yudas Ndungile akisisitiza jambo kwa washiriki wa mafunzo ya namna ya utoaji wa elimu na kukabiliana na ugonjwa wa Corona.
Na Damian Masyenene - Shinyanga Press Club Blog
JUMLA ya watoa huduma za Afya ngazi ya jamii 109 kutoka Wilaya ya Shinyanga Mkoani Shinyangawamepewa mafunzo na mbinu mbalimbali za namna ya kukabiliana na homa kali ya mapafu inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19).
Mafunzo hayo yametolewa kwa watoa huduma hao 53 kutoka...
5 years ago
MichuziWizara ya afya yatoa ufafanuzi maswali ya Wananchi kuhusu Corona
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema amekuwa akipokea maoni, maswali na ushauri kutoka kwa wananchi wakitaka kujua jitihada mbalimbali za Serikali za kukabiliana na homa kali ya mapafu na amewaagiza wataalamu wake kuanza kujibu maswali.
Waziri Ummy amesema maswali, maoni na ushauri huo unatoka kwa wananchi kupitia vyombo vya habari, mitandao ya kijamii na kituo cha wizara cha kupokea simu kuhusu ugonjwa wa homa ya...
5 years ago
Michuzi5 years ago
Michuzi