DOCTORS WITH AFRICA YATOA ELIMU YA CORONA KWA WATOA HUDUMA ZA AFYA NGAZI YA JAMII SHINYANGA
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dr. Yudas Ndungile akisisitiza jambo kwa washiriki wa mafunzo ya namna ya utoaji wa elimu na kukabiliana na ugonjwa wa Corona.
Na Damian Masyenene -
JUMLA ya watoa huduma za Afya ngazi ya jamii 109 kutoka Wilaya ya Shinyanga Mkoani Shinyangawamepewa mafunzo na mbinu mbalimbali za namna ya kukabiliana na homa kali ya mapafu inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19).
Mafunzo hayo yametolewa kwa watoa huduma hao 53 kutoka...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWORLD VISION TANZANIA YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA NA KINGA KUWAKINGA NA CORONA WATOA HUDUMA ZA AFYA SHINYANGA
Shirika la World Vision Tanzania limetoa msaada wa vifaa tiba na kinga vyenye thamani ya shilingi milioni 29 kwa ajili ya kusaidia watumishi wa sekta ya afya katika mkoa wa Shinyanga kujikinga na Maambukizi ya Virusi vya Corona ‘Covid 19’ wanapohudumia wagonjwa.
Vifaa hivyo vimekabidhiwa leo Ijumaa Mei 8, 2020 na Meneja wa World Vision Tanzania Kanda ya Ziwa John Massenza kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga.
Massenza alisema wao kama...
5 years ago
MichuziWATOA HUDUMA ZA AFYA SHINYANGA WAPEWA MAFUNZO NAMNA YA KUHUDUMIA WASHUKIWA NA WAGONJWA WA CORONA
Jumla ya watoa huduma za afya 56 kutoka kwenye vituo vya afya vya umma na watu binafsi wilaya ya Shinyanga na Kishapu wamepatiwa mafunzo ya namna ya kutoa matibabu kwa washukiwa na wagonjwa watakaobainika kuwa na Maambukizi ya Virusi vya Corona (COVID 19).
Mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga kwa ufadhili wa Shirika la Lifewater International yamefanyika leo Jumatatu Mei 4,2020 katika ukumbi wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Shinyanga.
Afisa Afya Mkoa wa Shinyanga Neema...
5 years ago
MichuziTAASISI YA BMF YAENDESHA MAFUNZO KWA WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII UMMY ASHAURI TUJIFUNZE KUISHI NA CORONA
Na Karama Kenyunko, Globu ya jamiiWAZIRI wa Afya, maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto, Ummy Mwalimu amewaasa Watanzania kujifunza kuishi na Corona kwani itakuwepo kwa miezi kadhaa hivyo maisha ni lazima yaendelee na uzalishaji mali uendelee huku wananchi wakiendelea kuchukua tahadhari kwa kufuata miongozo iliyotolewa na waudumu wa afya.
Ameyasema hayo leo Mei 14, 2020 jijini Dar es Salaam alipotembelea mafunzo ya waudumu wa afya ngazi ya jamii yanayotolewa na Wizara ya afya kwa ufadhili...
5 years ago
MichuziMBUNGE WA CCM AZZA HILAL ATOA MSAADA WA NGAO ZA USO KWA WATOA HUDUMA ZA AFYA KUJIKINGA NA CORONA
Mhe. Azza amekabidhi Ngao hizo za uso leo Ijumaa Mei 8,2020 wakati akikabidhi gari la kubebea Wagonjwa ‘ Ambulance’ lililotolewa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto...
5 years ago
Michuzi
SMZA YAFAFANUA ILIVYOFANIKIWA KUKABILIANA KWA KIASI KIKUBWA NA CORONA,YATOA MAELEKEZO WIZARA YA ELIMU NA AFYA
11 years ago
Dewji Blog02 Jun
UMATI wakabidhi Baiskeli 40 kwa wahudumu wa afya ya uzazi ngazi ya jamii Wilaya ya Rufiji
Afisa Vijana kutoka Chama cha Uzazi na Malezi Bora Tanzania (UMATI), Antony Mkinga (kulia) akitoa maelezo kwa wahudumu wa Afya ya uzazi ngazi ya jamii kabla ya kukabidhiwa baiskeli kutoka UMATI katika hafla fupi iliyofanyika IJUMAA tarehe 30 Mei, 2014 katika Kata ya Chumbi “A” Wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani.
Na Mwandishi Wetu, RUFIJI.
CHAMA cha Uzazi na Malezi Bora Tanzania (UMATI) imewapatia baiskeli 40 zenye thamani ya Tsh. Milioni 4.8 wahudumu wa afya ya uzazi na ujinsia ngazi ya jamii...
5 years ago
Michuzi
5 years ago
CCM Blog
CHAMA CHA WAUGUZI TANZANIA (TANNA) CHATOA WITO KWA WATOA HUDUMA ZA AFYA


11 years ago
Michuzi.jpg)
CBE YAENDESHA MAFUNZO KWA WATOA HUDUMA ZA AFYA 72 KUTOKA MIKOA MBALIMBALI JIJINI DAR
.jpg)