TANZIA-TAARIFA YA AJALI YA TRENI YA UOKOAJI NA KIBERENGE ILIYOTOKEA MACHI 22/2020

Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog
AJALI YA TRENI YA UOKOAJI NA KIBERENGE YASABABISHA VIFO VYA WATUMISHI WATANO WA TRC

Watumishi watano wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) wamefariki dunia kufuatia ajali ya Treni ya Uokoaji kugongana na Kiberenge No.HDT-3 katika maeneo yaliyopo kati ya stesheni za Mwakinyumbi na Gendagenda, eneo liliilopo katika Reli inayotoka Ruvu Junction mpaka Mruanzi Junction, jana, Machi 22, 2020.
Taarifa ya TRC imewataja waliokufa kuwa ni Ramadhani Gumbo wa DTM Tanga, Injinia Fabiola Moshi wa DME Dar es Salaam, Joseph Komba wa ATM Dar es Salaam, Philip Kajuna...
11 years ago
VijimamboAJALI MBAYA ILIYOTOKEA HUKO UKONGA BANANA
11 years ago
GPL10 years ago
GPL
TASWIRA ZA AJALI ILIYOTOKEA KIKATITI JIJINI ARUSHA JANA
Mwili wa mwanamke anayedaiwa kuwa mke wa mmiliki wa hoteli na klabu ya AQ baada ya ajali. Basi la Mrindoko Trans baada ya ajali hiyo.…
11 years ago
Michuzi
AJALI ILIYOTOKEA ENEO LA MOROCO-POSTA LEO JIJINI DAR

11 years ago
Michuzi05 Sep
11 years ago
Michuzi
TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2014 MUSOMA LASITISHWA KUFUATIA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA LEO.

Kuaihirishwa huko kunafuatia ajali mbaya na ya aina yake iliyopelekea...
11 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE ATOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA AJALI ILIYOTOKEA PANDAMBILI MKOANI DODOMA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT’S OFFICE, STATE HOUSE, 1 BARACK OBAMA ROAD, 11400 DAR ES SALAAM.Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi kufuatia ajali iliyotokea tarehe 30 Julai,...
10 years ago
Michuzi16 Sep
TAARIFA YA TANZIA
TANZIA
FAMILIA YA MAREHEMU ABDALLAH SELEMANI REHANI WA TABATA DAR ES SALAAM INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MAMA YAO MZAZI HAJJAT PILI MLOLWA REHANI KILICHOTOKEA LEO ALFAJIRI KWENYE HOSPITALI YA MUHIMBILI.
MAZISHI YATAFANYIKA LEO SAA 10 JIONI KWENYE MAKABURI YA SEGEREA, DAR ES SALAAM.
HABARI ZIWAFIKIE:1. FAMILIA YA MZEE MLOLWA WA MTAA WA KAMNA, TABORA2. UKOO WOTE WA MLOLWA NA FUNDIKIRA WA TABORA3. SHEMEJI WA MAREHEMU RAJABU MBUGA WA RUKWA4. FAMILIA YA MHE. MIZENGO PINDA YA MPANDA NA MLELE...

Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania