Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ILIVYOKUWA KATIKA AJALI YA MOTO ILIYOTOKEA JENGO LA RK COMPELEX

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Watu kumi wamefariki dunia na majeruhi saba katika ajali mbaya iliyotokea Mbalizi leo

9

Hivi ndivyo ambavyo Daladala hiyo ilivyojibamiza muda mchache uliopita Eneo hili la ubavuni ndipo eneo ambalo Daladala hiyo iliingia na Kujigonga Gari hilo aina ya Tata likiwa limepaki pembeni Muda mchache baada ya kupata ajali hiyo. 3 Askari wa usalama wa Barabarani akiwa anatazama na kuchunguza zaidi ajali hiyo. Eneo ambalo Daladala hiyo iliyofumuka Viti vikiwa vimeharibika baada ya ajali kutokea. Hivi ndivyo Daladala hiyo iliyokuwa ikitoka Mwanjelwa kuja Mbalizi ilivyo...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete amtumia salamu za rambirambi mkuu wa mkoa wa arusha kufuatia vifo vya watu katika ajali iliyotokea jijini humo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mheshimiwa Magesa Mulongo kufuatia ajali ya barabarani iliyotokea tarehe 30 Oktoba, 2014 katika eneo la Makumira Wilayani Arumeru katika Mkoa wa Arusha na kusababisha vifo vya abiria 12 papo hapo na wengine kujeruhiwa. 
 “Nimeshtushwa na kusikitishwa sana kutokana na ajali hii mbaya ambayo kwa ghafla imeondoa uhai wa wenzetu 12 wasio na hatia kutokana na...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: WATU ZAIDI YA 30 WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA MAFINGA, IRINGA, LEO BAADA YA BASI LA ABIRIA KUANGUKIWA NA KONTENA

Watu zaidi ya 30 wanasadikiwa kupoteza na maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa vibaya sana katika ajali mbaya iliyotokea mapema leo asubuhi,maeneo ya Changarawe,Mafinga Mkoani Iringa,iliyohusisha Lori la Mizigo na Basi la abiria la Kampuni ya Majinja lililokuwa likitokea Mkoani Mbeya kuelekea jijini Dar es salaam.
Ajali hiyo imetokea baada ya Lori hilo la Mizigo lililokuwa likitokea Jijini Dar kuelekea Mbeya kuligonga na kuliangukia basi hilo wakati lililokuwa likikwepa shimo kubwa lililopo...

 

11 years ago

GPL

UPDATES: MOTO BADO UNAENDELEA KUTEKETEZA MALI KATIKA JENGO LA RK

Moshi mkubwa ukitoka katika jengo la RK. MOTO bado ni mkubwa na unaendelea kuteketeza mali katika jengo la RK lililopo Jet Barabara ya Nyerere japo vikosi mbalimbali vya Zimamoto vipo vikiendelea kujaribu kuzuia moto huo. Magari yenye maji yanazidi kuongezwa eneo la tukio ambapo watu ni wengi wanaoshuhudia tukio hilo. Mpaka sasa hakuna mtu yeyote aliyeripotiwa kupoteza maisha wala kujeruhiwa katika tukio… ...

 

10 years ago

Michuzi

BREANKING NYUZZZ.....: ZAIDI YA WATU 35 WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA MABASI ILIYOTOKEA MCHANA HUU MJINI MUSOMA ANEO MAARUFU LA SABA SABA

 Basi la Kampuni ya J4 EXPRESS lenye nambari za usajili T 677 CYC lililokuwa likitoka Musoma kuelekea Silari Mkoani Mara likiwa limeharibika vibaya baada ya kugongana uso kwa uso na Basi lingine la Kampuni ya MWANZA COACH lenye nambari za usajili T 736 AWJ katika eneo la SabaSaba,Mjini Musoma mchana huu.

Watu zaidi ya 35 wamepoteza maisha papo hapo na wengine zaidi ya 86 kujeruhiwa vibaya. Kwa mujibu wa Ripota wetu aliopo eneo la tukio hivi sasa,inaelezwa kuwa chanzo cha ajali hiyo Basi la J4...

 

10 years ago

GPL

MOTO MKUBWA UMEZUKA KATIKA MOJA YA JENGO MTAA WA JAMUHURI JIJINI JAR

Moshi mkubwa ukiwa umetanda katika paa la jengo hilo lililopo katika mtaa wa Jamhuri jijini Dar.

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAELFU KATIKA MAZISHI YA WATU SITA WA FAMILIA MOJA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA MOTO



 Baba wa watoto wawili waliokufa katika ajali ya moto, Emmanuel Mpila akiweka shada la maua katika kaburi la mmoja wa watoto wake, Pauline.
 Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akiweka shada la maua. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiweka shada la maua. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Mark Mwandosya akiweka shada la maua. Jaji Mkuu mstaafu, Agustino Ramadhani akiweka shada la maua.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani