Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HIVI NDIVYO HALI ILIVYOKUWA KATIKA TUKIO LA AJALI ILIYOTOKEA MCHANA WA LEO JIJINI DAR

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO HALI ILIVYO KATIKA DARAJA LINALOUNGANISHA ENEO LA TANDALE NA MWANANYAMALA JIJINI DAR

 Hivi ndivyo hali ilivyo katika hili ni Daraja lilalounganisha eneo la Tandale na Mwananyamala jijini Dar es Salaam, ambapo wananchi wanaokaa maeneo ya jirani na Daraja hilo waliamua kukusanya viroba vilivyosheheni taka ngumu na kuwevilundika kwenye kingo za Daraja hilo ili kudhibiti maji yasiendelee kuchimba njia hiyo. Hali hii imekuja kutokana na mafuriko ya maji yaliyotokea hivi karibuni katika maeneo mengi hapa jijini kutokana na Mvua kubwa zilizokuwa zikinyesha.
Hali ilivyo katika...

 

11 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO HALI ILIVYO KATIKA SOKO LA ILALA MCHIKICHINI JIJINI DAR BAADA YA KUTEKETEA KWA MOTO

 Sehemu ya wafanyakazi wa Kikosi zimamoto wakiendelea na zoezi la kuzima moto ulioteketeza kabisa Soko la Ilala Mchikichini Jijini Dar es salaam leo.Moto huo ulianza majira ya saa sita usiku wa kuamkia leo na kuteketeza kila kilichokuwepo katika eneo la soko hilo. Chanzo cha kutokea kwa moto huo bado hakijajulikana mpaka sasa.Picha zote na Othman Michuzi.  Kazi ya kuzima moto ikiendelea.  Jitihada za kuuzima moto huo bado zinaendelea.  Moto bado unaendelea kuwaka mpaka wakati huu,huku...

 

10 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO HALI ILIVYOKUWA JIJINI ARUSHA WAKATI MH. LOWASSA ALIPOKUWA AKIELEKEA KWENYE UWANJA WA SHEIKH AMRI ABEID KUTANGAZA NIA YA URAIS

 Sehemu ya Waendesha Bodaboda wa Jijini Arusha wakiusubiria msafara wa Mh. Lowassa, maeneo ya Uwanja wa Ndege wa Arusha.
 Abiria kwenye basi pia hawakua nyuma kuchua Taswira zako pale walipomuona Mh. Lowassa akiwa kwenye gari lake.
 Sehemu ya wakazi wa Arusha wakimshangilia Mh. Lowassa alipokuwa akipita katika barabara ya Sokoine, Jijini Arusha wakati alielekea kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kutangaza nia.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZZ....: WATU ZAIDI YA 10 WAPOTEZA MAISHA KWENYE AJALI YA GARI ILIYOTOKEA ENEO LA MAKONGO,JIJINI DAR MCHANA HUU

 Watu zaidi ya kumi wamepoteza maisha kwenye ajali ya Daladala inayofanya safari zake kati ya Ubungo - Tegeta jijini Dar mchana huu,baada ya kushindwa maarifa ya kiudereva kwa Dereva wa daladala hilo hali iliyompelekea dereva huyo kuhama mpaka upande wa pili wa barabara na kulivaa lori kwa nyuma.Chanzo cha ajali hiyo inaelezwa kuwa ni mwendo kasi.  Hili ndilo lori lililokuwa likipita katika upande huo wa Barabara na kufatwa na daladala hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

AJALI YA GARI ILIYOTOKEA HIVI SASA KWENYE KIPITA SHOTO CHA SAMORA NA AZIKIWE JIJINI DAR

Kondakta (ambaye jina lake halikufahamika - kulia) wa Basi  UDA  lenye namba za usajili T 558 CVP akizungumza na mmoja wa abiria na kumuomba asubiri ili awapandishe kwenye gari nyingine la kampuni hiyo, baada ya gari hilo kugonga gari ndogo lenye namba za usajili wa T 498 DCU katika kipita shoto cha Samora na Azikiwe, jijini Dar es salaam leo. Askari wa Usalama Barabarani wakiwa katika eneo la tukio Askari wa Usalama Barabarani katikati akiongea na Dereva wa UDA. Gari ndogo inavyoonekana...

 

9 years ago

BBCSwahili

Hivi ndivyo ilivyokuwa katika shambulio mjini Paris

Maafisa wa polisi walioijihami walivamia ukumbi moja wa muziki ili kumaliza utekaji uliotekelezwa na washambuliaji wakati wa shambulio la mji wa Paris ijumaa usiku.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani