Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UPDATES: MOTO BADO UNAENDELEA KUTEKETEZA MALI KATIKA JENGO LA RK

Moshi mkubwa ukitoka katika jengo la RK. MOTO bado ni mkubwa na unaendelea kuteketeza mali katika jengo la RK lililopo Jet Barabara ya Nyerere japo vikosi mbalimbali vya Zimamoto vipo vikiendelea kujaribu kuzuia moto huo. Magari yenye maji yanazidi kuongezwa eneo la tukio ambapo watu ni wengi wanaoshuhudia tukio hilo. Mpaka sasa hakuna mtu yeyote aliyeripotiwa kupoteza maisha wala kujeruhiwa katika tukio… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MGOMO WA MABASI BADO UNAENDELEA

Mabasi yakiwa yameegeshwa Kituo cha Mabasi Ubungo baada ya madereva kuwa katika mgomo wa kimasilahi Dar es Salaam jana na leo. Mgoma huo umefanyika nchi nzima ukihusisha na daladala hivyo kuleta adha kwa wananchi.Wananchi wakitembea maeneo ya Jangwani kutokana na mgomo huo.Wanafunzi na watu wengine wakitembea maeneo ya chuo cha maji Ubungo wakielekea Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)Hali ilivyokuwa stendi ya Ubungo.Baadhi ya madereva, wapiga debe na makondakta wakikimbia huku wakiimba...

 

11 years ago

Mwananchi

Malalamiko bado mengi katika uuzaji mali za SMZ

Mwaka 2012 Baraza la Wawakilishi Zanzibar (BLW) liliunda Kamati Teule ya kuchunguza ukodishaji wa vitega uchumi vya Serikali baada ya kujitokeza tuhuma nzito ya kukodisha majengo ya umma kwa bei ya kutupa, kinyume na Sheria ya Ununuzi na Uuzaji wa Mali za Serikali ya mwaka 2005.

 

9 years ago

Mwananchi

Moto waendelea kuteketeza Milima ya Uluguru

Moto umeendelea kuiteketeza Milima ya Uluguru kwa zaidi ya siku tano sasa licha ya jitihada mbalimbali zinazofanywa na wahifadhi za kuuzima kushindikana, huku wananchi wanaoishi na kufanya shughuli za kibinadamu katika milima hiyo wakiendelea kuchoma moto.

 

10 years ago

GPL

MOTO MKUBWA UMEZUKA KATIKA MOJA YA JENGO MTAA WA JAMUHURI JIJINI JAR

Moshi mkubwa ukiwa umetanda katika paa la jengo hilo lililopo katika mtaa wa Jamhuri jijini Dar.

 

11 years ago

Michuzi

UPELELEZI WA KESI YA KINA PAPA MSOFE BADO UNAENDELEA

Na Mwenekaya Said,Globu ya Jamii - Kisutu 
KESI  ya  mauaji ya kukusudia  inayomkabili Mfanyabiashara maarufu nchini,Marijan Abubakar maarufu kama Papa Msofe (50) na mwenzake Makongoro Joseph Nyerere katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, bado inafanyiwa kazi  kwa Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) kwa ajili ya hatua zaidi.
Kesi hiyo imeahirishwa leo, na Hakimu Mkazi Hallen Riwa amesema kwa kuwa jalada la kesi liko kwa DPP na kwamba washtakiwa wanatakiwa kuwa na...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZ:MOTO MKUBWA UMEZUKA KATIKA MOJA YA JENGO MTAA WA JAMUHURI/MOSQUE JIJINI DAR

Moto Mkubwa umezuka mapema leo kwenye moja ya nyumba pichani iliopo mtaa wa Jamuhuri na Mosque jijini Dar es salaam na kuteketeza  mali kadhaa. Kikosi Kazi cha Globu ya Jamii kipo eneo la tukio kwa sasa kikiendelea kukusanya kila kinachojiri,lakini kwa taarifa kutoka kwa mashuhuda waliopo eneo la tukio wanaeleza kuwa chanzo cha moto huo bado hakijafahamika rasmi,Jeshi la Polisi limefika eneo la tukio kuhakikisha amani na utulivu vinakuwepo huku magari ya zimamoto nayo yakiendelea...

 

11 years ago

Michuzi

JUST IN: HALI YA HEWA KATIKA BUNGE LA KATIKA YATUAMA, MJADALA UNAENDELEA KWA BUSARA NA MAELEWANO

Ile sintofahamu iliyoibuka asubuhi wakati wa mjadala wa Rasimu ya Kanuni za Bunge Maalum mjini Dodoma imekwisha na sasa Wajumbe wanaendelea kujadili kifungu kimoja baada ya kingine kwa amani, maelewano na busara. Mwenyekiti wa muda Mhe Pandu Ameir Kificho alianza kuwatangazia wajumbe kwamba Wajumbe Mhe Christopher Ole Sendeka na Mhe Abubakar Khamis Bakari wamemaliza tofauti zao na wote wawili wamerudi Bungeni wakiwa hawana kinyongo na kwamba  mshikemshike wa asubuhi ulikuwa ni moja ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani