MGOMO WA MABASI BADO UNAENDELEA
Mabasi yakiwa yameegeshwa Kituo cha Mabasi Ubungo baada ya madereva kuwa katika mgomo wa kimasilahi Dar es Salaam jana na leo. Mgoma huo umefanyika nchi nzima ukihusisha na daladala hivyo kuleta adha kwa wananchi.
Wananchi wakitembea maeneo ya Jangwani kutokana na mgomo huo.
Wanafunzi na watu wengine wakitembea maeneo ya chuo cha maji Ubungo wakielekea Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
Hali ilivyokuwa stendi ya Ubungo.
Baadhi ya madereva, wapiga debe na makondakta wakikimbia huku wakiimba...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
UPELELEZI WA KESI YA KINA PAPA MSOFE BADO UNAENDELEA

KESI ya mauaji ya kukusudia inayomkabili Mfanyabiashara maarufu nchini,Marijan Abubakar maarufu kama Papa Msofe (50) na mwenzake Makongoro Joseph Nyerere katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, bado inafanyiwa kazi kwa Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) kwa ajili ya hatua zaidi.
Kesi hiyo imeahirishwa leo, na Hakimu Mkazi Hallen Riwa amesema kwa kuwa jalada la kesi liko kwa DPP na kwamba washtakiwa wanatakiwa kuwa na...
11 years ago
GPL
UPDATES: MOTO BADO UNAENDELEA KUTEKETEZA MALI KATIKA JENGO LA RK
10 years ago
Vijimambo29 Apr
Tishio mgomo wa mabasi. Sumatra, wamiliki mabasi jino kwa jino.

Katibu Mkuu wa Taboa, Enea Mrutu, alisisitiza msimamo wao wa kugoma walioutoa juzi alipozungumza na NIPASHE jana.
Alisema mgomo walioutangaza uko palepale ingawa kuna mazungumzo kati yao na Sumatra...
10 years ago
Mwananchi29 Apr
Mgomo wa mabasi kizungumkuti
10 years ago
Habarileo05 May
Mgomo wa mabasi balaa
MGOMO wa mabasi ulioibuka jana, umeitikisa nchi kiasi cha kusimamisha shughuli nyingi na kusababisha adha kwa wadau katika sekta nzima ya usafirishaji.
10 years ago
Habarileo06 May
Mgomo wa mabasi wasitishwa
HUDUMA za usafiri wa mabasi ya mikoani na daladala, zilizokuwa zimekwama kwa saa 31 kuanzia alfajiri ya juzi, zilirejea jana mchana.
10 years ago
Habarileo07 May
Mgomo wa mabasi kuwa historia
MGOMO wa madereva wa mabasi yaendayo mikoani, daladala na malori huenda usitokee tena nchini na hivyo kubaki kuwa suala la kihistoria.
11 years ago
Michuzi30 Jun
MGOMO WA MADREVA WA MABASI KAHAMA
Mabasi yanayosafirisha Abiria Kutoka kahama kwenda mikoani leo yamegoma kusafirisha abiria wakishinikiza serikiali kuingilia kati suala la...
10 years ago
Tanzania Daima24 Nov
Wamiliki mabasi watangaza mgomo
CHAMA cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa), kimetangaza kusitisha huduma za usafiri nchi nzima keshokutwa endapo madai yao ya msingi hayatashughulikiwa na Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini...