UPELELEZI WA KESI YA KINA PAPA MSOFE BADO UNAENDELEA
![](http://3.bp.blogspot.com/-Rv0garHHy2M/Uwydlg7E4zI/AAAAAAAFPeY/elZXrwA5ycE/s72-c/DSC_7423.jpg)
Na Mwenekaya Said,Globu ya Jamii - Kisutu
KESI ya mauaji ya kukusudia inayomkabili Mfanyabiashara maarufu nchini,Marijan Abubakar maarufu kama Papa Msofe (50) na mwenzake Makongoro Joseph Nyerere katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, bado inafanyiwa kazi kwa Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) kwa ajili ya hatua zaidi.
Kesi hiyo imeahirishwa leo, na Hakimu Mkazi Hallen Riwa amesema kwa kuwa jalada la kesi liko kwa DPP na kwamba washtakiwa wanatakiwa kuwa na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi25 Jun
Papa Msofe afutiwa kesi ya mauaji
10 years ago
Habarileo25 Jun
‘Papa Msofe’ afutiwa kesi, akamatwa tena
MFANYABIASHARA maarufu Marijan Abubakar ‘Papa Msofe’ na mwenzake, Makongoro Joseph, wamefutiwa kesi ya mauaji iliyokuwa inawakabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
10 years ago
Habarileo20 Mar
Upelelezi wa kesi ya Uamsho bado
KIONGOZI wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) Shekhe Farid Hadi Ahmed (45) na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya ugaidi bado wanasota rumande kwa kwa kuwa upelelezi wa kesi bado haujakamilika.
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
Upelelezi kesi ya ugaidi bado
UPELELEZI wa kesi ya kuwaagiza watu kufanya makosa mbalimbali ya kigaidi nchini inayowakabili watu 16 iliyopo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, bado haujakamilika. Waendesha mashitaka wa...
10 years ago
Habarileo13 Feb
Upelelezi kesi ya wafuasi wa CUF bado kukamilika
UPEELELEZI wa kesi ya kutotii amri halali ya polisi na kufanya mkusanyiko usio halali inayowakabili wafuasi 30 wa Chama cha Wananchi (CUF) haujakamilika.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Xp9s-dMJ914/XrViSRT4MSI/AAAAAAALpfQ/mJWEizrYY3gbDZpxfk71dWKekw2nqmEMwCLcBGAsYHQ/s72-c/94084611_2818284451645258_6601521376068816212_n.jpg)
UPELELEZI KATIKA KESI YA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA ZAIDI YA KILO 270 INAYOMKABILI RAIA WA NIGERIA, WATANZANIA WAWILI BADO HAUJAKAMILIKA
Na Karama Kenyunko, Michuzi TV
UPELELEZI katika kesi ya kukutwa na dawa za kulevya zaidi ya kilo 270 inayomkabili Raia wa Nigeria, David Chukwu (38) na Watanzania wawili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu bado haujakamilika.
Mbali na Chukwu ambaye ni Mkazi wa Masaki, washitakiwa wengine ni Isso Lupembe (49) Mkazi wa Mbezi na Allistair Mbele (38).
Wakili wa Serikali, Ester Martin alidai jana mbele ya Hakimu Mfawidhi Godfrey Isaya kuwa kesi hiyo imekuja kwa ajili ya kutajwa na kwamba...
10 years ago
Tanzania Daima19 Nov
Papa Msofe, Dk. Mvungi wasogezwa
MFANYABIASHARA anayekabiliwa na kesi ya mauaji, Marijan Abubakar, maarufu kama Papa Msofe na mwenzake, Makongoro Joseph, wameendelea kusota rumande kutokana na kile kinachoelezwa ni upelelezi kusubiriwa ukamilike. Kesi ya watuhumiwa...
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Papa Msofe aendelea kusota rumande
10 years ago
GPLPAPA MSOFE, MAKONGORO WAENDELEA KUSOTA RUMANDE