Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Papa Msofe afutiwa kesi ya mauaji

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeifuta kesi ya mauaji ya kukusudia iliyokuwa ikimkabili mfanyabiashara Marijan Abubakar, maarufu kama Papa Msofe (50) na mwenzake, Makongoro Joseph.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

‘Papa Msofe’ afutiwa kesi, akamatwa tena

Papa MsofeMFANYABIASHARA maarufu Marijan Abubakar ‘Papa Msofe’ na mwenzake, Makongoro Joseph, wamefutiwa kesi ya mauaji iliyokuwa inawakabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

 

10 years ago

Michuzi

GABRIEL FUIME AFUTIWA KESI YA MAUAJI NA KUWA MAUAJI BILA KUKUSUDIA

 Aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime akifikishwa mahakamani wakati wa hatua za awali za kesi hiyo. ------------------------Na Mwene Said wa Globu ya Jamii MAHAKAMA Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imefuta  mwenendo wa kesi ya mauaji iliyofunguliwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini dhidi aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime na wenzake 11, wanaohusishwa na kuporomoka kwa jingo la ghorofa 16 katika mtaa wa Indira Gandh na kuua watu 27...

 

11 years ago

Michuzi

UPELELEZI WA KESI YA KINA PAPA MSOFE BADO UNAENDELEA

Na Mwenekaya Said,Globu ya Jamii - Kisutu 
KESI  ya  mauaji ya kukusudia  inayomkabili Mfanyabiashara maarufu nchini,Marijan Abubakar maarufu kama Papa Msofe (50) na mwenzake Makongoro Joseph Nyerere katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, bado inafanyiwa kazi  kwa Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) kwa ajili ya hatua zaidi.
Kesi hiyo imeahirishwa leo, na Hakimu Mkazi Hallen Riwa amesema kwa kuwa jalada la kesi liko kwa DPP na kwamba washtakiwa wanatakiwa kuwa na...

 

10 years ago

GPL

PAPAA MSOFFE AFUTIWA KESI YA MAUAJI, AFUNGULIWA NYINGINE YA KUGHUSHI NYARAKA

Papaa Msofe akiwa mahakamani. (Picha kutoka maktaba yetu) MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemfutia kesi ya mauji iliyokuwa ikimkabili mfanyabishara maarufu nchini, Marijan Abubakar, maarufu kama 'Papaa Msofe' baada ya kupokea taarifa kutoka kwa MKurugenzi wa Mashitaka (DPP), Biswalo Mganga leo kuwa hana nia ya kuendelea kumshitaki tena. Kwa mujibu wa Kifungu cha 91(1) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Papa Msofe, Dk. Mvungi wasogezwa

MFANYABIASHARA anayekabiliwa na kesi ya mauaji, Marijan Abubakar, maarufu kama Papa Msofe na mwenzake, Makongoro Joseph, wameendelea kusota rumande kutokana na kile kinachoelezwa ni upelelezi kusubiriwa ukamilike.  Kesi ya watuhumiwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Papa Msofe aendelea kusota rumande

>Mfanyabiashara anayekabiliwa na kesi ya mauaji ya kukusudia, Marijan Abubakar, maarufu kama Papa Msofe (50) na mwenzake, Makongoro Joseph, wanaendelea kusota rumande kwa takriban mwaka mmoja sasa kutokana na kile kinachelezwa ni upelelezi kusubiriwa ukamilike.

 

10 years ago

Habarileo

Anayedaiwa kuua na Papa Msofe ailalamikia mahakama

MFANYABIASHARA Makongoro Nyerere anayekabiliwa na kesi ya mauaji pamoja na Marijan Abubakar ‘Papa Msofe’ , amelalamikia Mahakama akidai wamekaa gerezani miaka miwili hadi amepata ugonjwa wa kifua bila kujua hatima yao ni nini kutokana na kutokukamilika kwa upelelezi.

 

10 years ago

GPL

PAPA MSOFE, MAKONGORO WAENDELEA KUSOTA RUMANDE

Papa Msofe (katikati) akishuka ngazi za Mahakama ya Kisutu. (Picha na maktaba yetu) Na Haruni Sanchawa / GPL MFANYABIASHARA anayekabiliwa na kesi ya mauaji, Marijan Abubakar, maarufu kama Papa Msofe na mwenzake, Makongoro Joseph, wameendelea kusota rumande kutokana na kile kinachoelezwa ni upelelezi kusubiriwa ukamilike.  Kesi ya watuhumiwa hao wawili imetajwa leo na mwendesha mashitaka wa serikali, Hellen Moshi katika...

 

10 years ago

GPL

KESI YA MSOFE NA MWENZAKE YAAHIRISHWA

KESI ya mauaji inayomkabili mfanyabiashara Marijan Abubakar ‘Papa Msofe’ na mwenzake, Makongoro Joseph, imetajwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam na kuahirishwa hadi Oktoba 13 mwaka huu kutokana na uchunguzi kutokamilika.  Msofe na Makongoro wanakabiliwa na kesi ya mauaji ya Onesphory Kitoli. Kesi hiyo imetajwa chini ya  Hakimu Mkazi Hellen Riwa  Papa Msofe (katikati) akishuka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani