PAPA MSOFE, MAKONGORO WAENDELEA KUSOTA RUMANDE
Papa Msofe (katikati) akishuka ngazi za Mahakama ya Kisutu. (Picha na maktaba yetu) Na Haruni Sanchawa / GPL MFANYABIASHARA anayekabiliwa na kesi ya mauaji, Marijan Abubakar, maarufu kama Papa Msofe na mwenzake, Makongoro Joseph, wameendelea kusota rumande kutokana na kile kinachoelezwa ni upelelezi kusubiriwa ukamilike. Kesi ya watuhumiwa hao wawili imetajwa leo na mwendesha mashitaka wa serikali, Hellen Moshi katika...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboPAPAA MSOFE NA MAKONGORO WAENDELEA KUSOTA RUMANDE
MFANYABIASHARA anayekabiliwa na kesi ya mauaji, Marijan Abubakar, maarufu kama Papa Msofe na mwenzake, Makongoro Joseph, wameendelea kusota rumande kutokana na kile kinachoelezwa kuwa upelelezi bado haujakamilika.
Kesi ya watuhumiwa hao wawili imetajwa leo na mwendesha mashitaka wa serikali, Bi Hellen Moshi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam mbele ya Hakimu Mkazi, Hellen Liwa.
Msofe...
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Papa Msofe aendelea kusota rumande
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Waliomuua Dk Mvungi waendelea kusota rumande
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Jun
Vigogo Manispaa Kinondoni waendelea kusota rumande
NA MWANDISHI WETU
VIGOGO watatu wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, waliokamatwa kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa, wanaendelea kushikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).
Vigogo wanaoshikiliwa ni Mhandisi wa manispaa hiyo, Baraka Mkuya, Mkaguzi Mkuu wa Majengo aliyetajwa kwa jina moja la Christopher na Ofisa Mtendaji wa Kata ya Msasani aliyefahamika kwa jina la Mushi.
Ofisa Uhusiano wa TAKUKURU, Doreen Kapwani, alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa vigogo...
10 years ago
GPLHALIMA MDEE NA WENZAKE WAENDELEA KUSOTA RUMANDE
11 years ago
Mwananchi01 May
Sheikh Ponda kusota rumande
11 years ago
Habarileo06 Aug
Mansour kuendelea kusota rumande
ALIYEKUWA Waziri katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) na Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki, Mansour Yussuf Himid, amefikishwa mbele ya Mahakama ya Mkoa Vuga, akikabiliwa na makosa matatu na kisha kurejeshwa rumande.
11 years ago
Habarileo12 Jul
Mtuhumiwa wa kuficha mtoto kishirikina kusota rumande
MKAZI wa kijiji cha Marambeka wilayani Bunda, Minza Pama (80), anayetuhumiwa kuiba mtoto kwa njia ya ushirikina na kumficha uvunguni mwa kitanda chake kwa muda wa siku saba, amefikishwa katika mahakama ya wilaya hiyo na kupelekwa mahabusu kwa kukosa dhamana.
11 years ago
Daily News12 Mar
DPP holding Msofe, Makongoro murder case file, court told
Daily News
THE Director of Public Prosecution (DPP) is still holding the police file of a murder case against two prominent businessmen Makongoro Joseph Nyerere and Marijani Abubakar, alias Papaa Msofe, the Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es Salaam ...