HALIMA MDEE NA WENZAKE WAENDELEA KUSOTA RUMANDE
Mdee (wa nne kulia) na watuhumiwa wenzake wakielekea mahakamani. Watuhumiwa wakishuka chumba cha mahakama.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Waliomuua Dk Mvungi waendelea kusota rumande
10 years ago
GPLPAPA MSOFE, MAKONGORO WAENDELEA KUSOTA RUMANDE
10 years ago
VijimamboPAPAA MSOFE NA MAKONGORO WAENDELEA KUSOTA RUMANDE
MFANYABIASHARA anayekabiliwa na kesi ya mauaji, Marijan Abubakar, maarufu kama Papa Msofe na mwenzake, Makongoro Joseph, wameendelea kusota rumande kutokana na kile kinachoelezwa kuwa upelelezi bado haujakamilika.
Kesi ya watuhumiwa hao wawili imetajwa leo na mwendesha mashitaka wa serikali, Bi Hellen Moshi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam mbele ya Hakimu Mkazi, Hellen Liwa.
Msofe...
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Jun
Vigogo Manispaa Kinondoni waendelea kusota rumande
NA MWANDISHI WETU
VIGOGO watatu wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, waliokamatwa kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa, wanaendelea kushikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).
Vigogo wanaoshikiliwa ni Mhandisi wa manispaa hiyo, Baraka Mkuya, Mkaguzi Mkuu wa Majengo aliyetajwa kwa jina moja la Christopher na Ofisa Mtendaji wa Kata ya Msasani aliyefahamika kwa jina la Mushi.
Ofisa Uhusiano wa TAKUKURU, Doreen Kapwani, alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa vigogo...
10 years ago
Habarileo08 Oct
Halima Mdee rumande
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (35) na wanachama wenzake wanane wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jana walipelekwa rumande baada ya kushindwa kukamilisha taratibu za dhamana katika kesi inayowakabili ya kutotii amri halali ya Polisi na kufanya mkusanyiko bila kibali.
10 years ago
Habarileo09 Oct
Halima Mdee- 'Nimekula bata' rumande
MWENYEKITI wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Halima Mdee (35) na wenzake wanane wameachiwa kwa dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Mdee na wanachama wengine wanane waliachiwa jana mchana baada ya kutimiza masharti.
10 years ago
Habarileo17 Dec
Halima Mdee, wenzake wapandishwa Kisutu
MWENYEKITI wa Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) na Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (35) na wenzake wanne walisomewa maelezo ya awali jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo walikubali kuwa wafuasi wa Chadema na kwamba wanafahamiana.
10 years ago
GPLKESI YA HALIMA MDEE, WENZAKE KUENDELEA KESHO
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-GO9Gkc7pmsg/VEYv9ecKBeI/AAAAAAAGsK8/y9G8-Yw8t0g/s72-c/halima_mdee.jpg)
MAHAKAMA YAAGIZA Halima MDEE NA WENZAKE KUHUDHURIA KESI YAO INAPOPANGWA KUSIKILIZWA
![](http://1.bp.blogspot.com/-GO9Gkc7pmsg/VEYv9ecKBeI/AAAAAAAGsK8/y9G8-Yw8t0g/s1600/halima_mdee.jpg)
Habari na Mwene Said wa Globu ya Jamii Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeagiza Mbunge wa Jimbo la Kawe, Mhe Halima Mdee (35) na wenzake wawili kufika mahakamani ili iweze kuanza kusikiliza kesi inayowakabili ya kupinga amri halali ya Jeshi la Polisi na kukusanyika isivyo halali kwa lengo la kwenda Ikulu. Amri hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi Janeth Kaluyenda baada ya upande wa Jamhuri kudai kuwa mshtakiwa wa kwanza Mdee,...