KESI YA HALIMA MDEE, WENZAKE KUENDELEA KESHO
Mwenyekiti wa BAWACHA, Halima Mdee (mwenye nguo nyekundu) akitoka mahakamani. ...Akisalimiana na Ofisa wa Oparesheni wa Kinondoni, Emmanuel Tille (mwenye tai) ambaye ni shahidi upande wa jeshi la polisi. KESI inayowakabili…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-GO9Gkc7pmsg/VEYv9ecKBeI/AAAAAAAGsK8/y9G8-Yw8t0g/s72-c/halima_mdee.jpg)
MAHAKAMA YAAGIZA Halima MDEE NA WENZAKE KUHUDHURIA KESI YAO INAPOPANGWA KUSIKILIZWA
![](http://1.bp.blogspot.com/-GO9Gkc7pmsg/VEYv9ecKBeI/AAAAAAAGsK8/y9G8-Yw8t0g/s1600/halima_mdee.jpg)
Habari na Mwene Said wa Globu ya Jamii Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeagiza Mbunge wa Jimbo la Kawe, Mhe Halima Mdee (35) na wenzake wawili kufika mahakamani ili iweze kuanza kusikiliza kesi inayowakabili ya kupinga amri halali ya Jeshi la Polisi na kukusanyika isivyo halali kwa lengo la kwenda Ikulu. Amri hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi Janeth Kaluyenda baada ya upande wa Jamhuri kudai kuwa mshtakiwa wa kwanza Mdee,...
10 years ago
Habarileo17 Dec
Halima Mdee, wenzake wapandishwa Kisutu
MWENYEKITI wa Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) na Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (35) na wenzake wanne walisomewa maelezo ya awali jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo walikubali kuwa wafuasi wa Chadema na kwamba wanafahamiana.
10 years ago
GPLHALIMA MDEE NA WENZAKE WAENDELEA KUSOTA RUMANDE
5 years ago
CCM Blog28 May
HALIMA MDEE AKUTWA NA KESI YA KUIBU
![](https://millardayo.com/wp-content/uploads/2020/05/maxresdefault-7-2-660x400.jpg)
9 years ago
Mwananchi23 Sep
Kesi ya Halima Mdee yapigwa kalenda
10 years ago
MichuziKAMANDA SIRO ATOA USHAHIDI WAKE KATIKA KESI YA MH. MDEE NA WENZAKE
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeambiwa na Naibu Kamishna wa Polisi, Kamanda Simon Siro (54), ambaye amedai mahakamani kwamba alitoa zuio la kuandamana kwenda Ikulu kwa Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha) kwa sababu maandamano hayo yangesababisha uvunjifu wa amani.
Alitoa madai hayo, wakati akitoa ushahidi dhidi ya Mbunge Halima Mdee na wenzake, kwamba baada ya kupitia vigezo vya kiusalama, njia...
10 years ago
Habarileo08 Oct
Halima Mdee rumande
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (35) na wanachama wenzake wanane wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jana walipelekwa rumande baada ya kushindwa kukamilisha taratibu za dhamana katika kesi inayowakabili ya kutotii amri halali ya Polisi na kufanya mkusanyiko bila kibali.
10 years ago
Tanzania Daima02 Oct
JK amzimia Halima Mdee
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA), jana aligeuka kivutio kikubwa katika hafla ya uzinduzi wa barabara ya Mwenge hadi Tegeta. Katika uzinduzi huo uliofanyika jana jijini Dar es salaam, Mdee,...
10 years ago
Tanzania Daima05 Oct
Halima Mdee ngangari
JESHI la Polisi jana lilitembeza mkong’oto na kuwakamata makada na viongozi wa Baraza la Wanawake wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), waliokuwa wakiandamana kwenda Ikulu Mwenyekiti wa Bawacha, Halima...