HALIMA MDEE AKUTWA NA KESI YA KUIBU
Mbunge wa Kawe, Halima Mdee anayekabiliwa na kesi ya uchochezi wa kutoa maneno ya kuudhi dhidi ya Rais John Magufuli, amekutwa na kesi ya kujibu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.Hatua hiyo inatokana na uamuzi uliotolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba.Hakimu Simba amesema kuwa mahakama hiyo imemkuta Mdee na kesi ya kujibu na kwamba anatakiwa kuwasilisha utetezi wake mahakamani hapo.Uamuzi huo umetokana na Upande wa Mashtaka kufunga ushahidi wake Februari 20, 2020 .Mdee kupitia...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi23 Sep
Kesi ya Halima Mdee yapigwa kalenda
10 years ago
GPLKESI YA HALIMA MDEE, WENZAKE KUENDELEA KESHO
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-GO9Gkc7pmsg/VEYv9ecKBeI/AAAAAAAGsK8/y9G8-Yw8t0g/s72-c/halima_mdee.jpg)
MAHAKAMA YAAGIZA Halima MDEE NA WENZAKE KUHUDHURIA KESI YAO INAPOPANGWA KUSIKILIZWA
![](http://1.bp.blogspot.com/-GO9Gkc7pmsg/VEYv9ecKBeI/AAAAAAAGsK8/y9G8-Yw8t0g/s1600/halima_mdee.jpg)
Habari na Mwene Said wa Globu ya Jamii Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeagiza Mbunge wa Jimbo la Kawe, Mhe Halima Mdee (35) na wenzake wawili kufika mahakamani ili iweze kuanza kusikiliza kesi inayowakabili ya kupinga amri halali ya Jeshi la Polisi na kukusanyika isivyo halali kwa lengo la kwenda Ikulu. Amri hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi Janeth Kaluyenda baada ya upande wa Jamhuri kudai kuwa mshtakiwa wa kwanza Mdee,...
10 years ago
Habarileo08 Oct
Halima Mdee rumande
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (35) na wanachama wenzake wanane wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jana walipelekwa rumande baada ya kushindwa kukamilisha taratibu za dhamana katika kesi inayowakabili ya kutotii amri halali ya Polisi na kufanya mkusanyiko bila kibali.
10 years ago
Tanzania Daima02 Oct
JK amzimia Halima Mdee
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA), jana aligeuka kivutio kikubwa katika hafla ya uzinduzi wa barabara ya Mwenge hadi Tegeta. Katika uzinduzi huo uliofanyika jana jijini Dar es salaam, Mdee,...
10 years ago
Tanzania Daima05 Oct
Halima Mdee ngangari
JESHI la Polisi jana lilitembeza mkong’oto na kuwakamata makada na viongozi wa Baraza la Wanawake wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), waliokuwa wakiandamana kwenda Ikulu Mwenyekiti wa Bawacha, Halima...
10 years ago
Daily News05 Oct
Halima Mdee in police custody
Daily News
Daily News
CHAIRPERSON of CHADEMA Women's Wing, Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA), Halima Mdee was detained by police for several hours along with other eight members of the Wing for allegedly conducting an illegal demonstration outside State ...
10 years ago
Mwananchi05 Oct
Halima Mdee akamatwa Dar
10 years ago
Accused Over 'No22 Oct
Court Warns Halima Mdee, Co
AllAfrica.com
THE Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es Salaam on Tuesday warned Chadema Women's Wing (Bawacha) Chairperson, Halima Mdee and two other co-accused, for failure to attend the case facing them. In Tuesday's proceedings, the prosecution ...