MAHAKAMA YAAGIZA Halima MDEE NA WENZAKE KUHUDHURIA KESI YAO INAPOPANGWA KUSIKILIZWA
![](http://1.bp.blogspot.com/-GO9Gkc7pmsg/VEYv9ecKBeI/AAAAAAAGsK8/y9G8-Yw8t0g/s72-c/halima_mdee.jpg)
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Mhe Halima Mdee
Habari na Mwene Said wa Globu ya Jamii Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeagiza Mbunge wa Jimbo la Kawe, Mhe Halima Mdee (35) na wenzake wawili kufika mahakamani ili iweze kuanza kusikiliza kesi inayowakabili ya kupinga amri halali ya Jeshi la Polisi na kukusanyika isivyo halali kwa lengo la kwenda Ikulu. Amri hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi Janeth Kaluyenda baada ya upande wa Jamhuri kudai kuwa mshtakiwa wa kwanza Mdee,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLKESI YA HALIMA MDEE, WENZAKE KUENDELEA KESHO
10 years ago
Habarileo17 Dec
Halima Mdee, wenzake wapandishwa Kisutu
MWENYEKITI wa Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) na Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (35) na wenzake wanne walisomewa maelezo ya awali jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo walikubali kuwa wafuasi wa Chadema na kwamba wanafahamiana.
10 years ago
GPLHALIMA MDEE NA WENZAKE WAENDELEA KUSOTA RUMANDE
10 years ago
GPLKESI YA MRAMBA NA WENZAKE KUSIKILIZWA JUMATATU
10 years ago
Vijimambo04 Jul
KESI YA MRAMBA NA WENZAKE KUSIKILIZWA JUMATATU
Basili Mramba,Daniel Yona,Agrey Mgonja mwingine hakufahamika jina lake wakijadili jambo kabla ya kusomewa hukumu yao ambayo imeahirishwa mpaka tarehe 6 mwezi wa 7.
Daniel Yona, Agrey Mgonja wakisubiria hatima ya kesi yao inayowakabili katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar.
Ndugu na jamaa waliofika mahakamani hapo kusikiliza hukumu hiyo.
Mramba na wenzake wakijadili kabla ya hukumu yao ambayo imeahirishwa tena
Kesi ya matumizi mabaya ya fedha za serikali ya...
9 years ago
Mwananchi23 Sep
Kesi ya Halima Mdee yapigwa kalenda
5 years ago
CCM Blog28 May
HALIMA MDEE AKUTWA NA KESI YA KUIBU
![](https://millardayo.com/wp-content/uploads/2020/05/maxresdefault-7-2-660x400.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-EpSywlLn9cg/U9p1uuVagkI/AAAAAAAF8Es/VBsJKkoM5HE/s72-c/wmhando.jpg)
Kesi inayomkabili Mkurugenzi wa zamani wa Tanesco,Willam Mhando na Wenzake kusikilizwa Agosti 26
![](http://3.bp.blogspot.com/-EpSywlLn9cg/U9p1uuVagkI/AAAAAAAF8Es/VBsJKkoM5HE/s1600/wmhando.jpg)
Mhando na wenzake wanakabiliwa na mashitaka sita ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka, kughushi na kujipatia Sh. Milioni 31.7 kwa njia ya udanganyifu.
Kesi ilipangwa kusikilizwa ushahidi huo, Julai 29 na 30, mwaka huu mbele ya Hakimu Mkazi...
10 years ago
Mwananchi22 Oct
Mahakama yampa onyo Mdee wenzake