Mahakama yampa onyo Mdee wenzake
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewataka wadhamini wa Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (35) na washtakiwa wenzake kuwa makini na ratiba zao ili kuepuka kuchelewesha kesi inayowakabili mahakamani hapo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
MAHAKAMA YAAGIZA Halima MDEE NA WENZAKE KUHUDHURIA KESI YAO INAPOPANGWA KUSIKILIZWA

Habari na Mwene Said wa Globu ya Jamii Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeagiza Mbunge wa Jimbo la Kawe, Mhe Halima Mdee (35) na wenzake wawili kufika mahakamani ili iweze kuanza kusikiliza kesi inayowakabili ya kupinga amri halali ya Jeshi la Polisi na kukusanyika isivyo halali kwa lengo la kwenda Ikulu. Amri hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi Janeth Kaluyenda baada ya upande wa Jamhuri kudai kuwa mshtakiwa wa kwanza Mdee,...
10 years ago
Habarileo17 Apr
Mahakama yampa DC Kinondoni siku 7
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa siku saba kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paulo Makonda, kuwasilisha utetezi wake dhidi ya kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM, Dar es Salaam, John Guninita.
11 years ago
GPL
MDEE NA WENZAKE WAPATA DHAMANA
11 years ago
GPL
MDEE NA WENZAKE WAPELEKWA SEGEREA
11 years ago
Habarileo21 Oct
Mdee, wenzake kizimbani leo
MBUNGE wa Jimbo la Kawe (Chadema), Halima Mdee (35) na wenzake wanane wanaokabiliwa na mashitaka ya kutotii amri halali ya Jeshi la Polisi wanatarajia kusomewa maelezo ya awali leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
10 years ago
Habarileo17 Dec
Halima Mdee, wenzake wapandishwa Kisutu
MWENYEKITI wa Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) na Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (35) na wenzake wanne walisomewa maelezo ya awali jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo walikubali kuwa wafuasi wa Chadema na kwamba wanafahamiana.
10 years ago
Michuzi09 Apr
MAHAKAMA YAMPA ADHABU YA KUFUA MASHUKA YA HOSPITAL DIWANI WA CHADEMA
MAHAKAMA ya Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma imempa adhabu ya kufua mashuka ya wagonjwa katika hospital ya Wilaya ya Kakonko na kuzibua mitaro ya barabarani Diwani wa kata ya Kasanda kupitia tiketi ya chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yeye na wenzake wanne kwa muda wa siku kumi na nne baada ya kukutwa na hatia ya makosa matatu.
Mbele ya hakimu mfawidhi wa mahakama ya Wilaya ya Kibondo Erick Marley,mwendesha mashitaka wa polisi Peter Makala...