Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MDEE NA WENZAKE WAPATA DHAMANA

Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Halima Mdee. Mbunge wa Kawe, Halima Mdee na wenzake 8 leo wamepata dhamana katika Mahakama ya Kisutu, Dar. Kesi yao kutajwa tena Oktoba 21, 2014. Siku ya jana washtakiwa hao walipanda kizimbani mbele ya Hakimu Mkazi Kaluyenda na kusomewa mashtaka mawili na Wakili wa Serikali Mkuu, Kangola aliwataja washtakiwa kuwa ni Mbunge wa Kawe, Mdee, Rose Moshi, Penina...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Lema, wenzake waachiwa kwa dhamana

Mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema na wenzake wanne wameachiliwa kwa dhamana leo baada ya kushikiliwa na polisi tangu jana.

 

9 years ago

Mwananchi

Washtakiwa TRA wapata dhamana

Washtakiwa wanne katika kesi ya uhujumu uchumi na kuisababishia hasara Serikali ya Sh 12.7 bilioni katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wamepata dhamana na kufanya idadi ya waliopata dhamana kufikia saba.

 

10 years ago

Habarileo

Wafuasi wa Chadema wapata dhamana

WAFUASI watatu wa Chadema wanaokabiliwa na mashitaka ya kutotii amri ya Jeshi la Polisi na kuingia katika Makao Makuu ya Jeshi hilo kinyume cha sheria, wamepata dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

WAFUASI WA CUF WAPATA DHAMANA

Watuhumiwa wakisubiri kupewa dhamana katika chumba cha kusikiliza kesi. Wafuasi wa CUF wakishuka kwenye ngazi kutoka katika chumba cha kusikiliza kesi baada ya kupewa dhamana.…

 

11 years ago

Mwananchi

Waliovunja ‘mochwari’ sita wapata dhamana

Watu sita kati ya 12 wanaotuhumiwa kwa uchochezi na kuvunja chumba cha kuhifadhia maiti katika Kituo cha Afya Kaigara wilayani hapa, jana wamepata dhamana baada ya kutimiza masharti ya mahakama.

 

10 years ago

Mwananchi

Wafuasi 30 wa CUF wapata dhamana Kisutu

Wafuasi 30 wa Chama cha Wananchi CUF wanaokabiliwa na    mashtaka matatu ya kula njama na kukaidi  amri halali ya polisi na kufanya maandamano katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wameachiwa huru  baada ya kukamilisha masharti ya dhamana waliyopewa.

 

10 years ago

GPL

LIPUMBA NA WAFUASI WAKE WAPATA DHAMANA UPYA

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Hamad akisalimiana na Mwenyekiti wake Prof. Lipumba baada kutoka katika chumba cha kesi. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Hamad, akishuka katika chumba cha kusikiliza kesi.…

 

10 years ago

Habarileo

Mdee, wenzake kizimbani leo

MBUNGE wa Jimbo la Kawe (Chadema), Halima Mdee (35) na wenzake wanane wanaokabiliwa na mashitaka ya kutotii amri halali ya Jeshi la Polisi wanatarajia kusomewa maelezo ya awali leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

 

10 years ago

GPL

MDEE NA WENZAKE WAPELEKWA SEGEREA

Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Halima Mdee. Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Halima Mdee na wenzake tisa wamepelekwa katika Gereza la Segerea jijini Dar baada ya kushindwa kutimiza baadhi ya masharti ya dhamana yao. Mdee na…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani