Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MDEE NA WENZAKE WAPELEKWA SEGEREA

Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Halima Mdee. Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Halima Mdee na wenzake tisa wamepelekwa katika Gereza la Segerea jijini Dar baada ya kushindwa kutimiza baadhi ya masharti ya dhamana yao. Mdee na…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Saa 24 za Halima Mdee Segerea zaibua mazito

Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee ameelezea mambo matano aliyokutana nayo katika gereza la Segerea Dar es Salaam alipokaa mahabusu kwa saa 24 kwa tuhuma za kuongoza maandamano yasiyokuwa na kibali Oktoba 4 mwaka huu jijini humo.

 

10 years ago

Mwananchi

Halima Mdee akosa dhamana, alala Segerea

Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) na Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (35), jana alikosa dhamana na kupelekwa rumande katika Gereza la Segerea hadi leo maombi ya dhamana yake yatakaposikilizwa tena.

 

10 years ago

GPL

HALIMA MDEE ASIMULIA MAMBO 5 MAZITO YA SEGEREA

Stori: Makongoro Oging’
MBUNGE wa Jimbo la Kawe jijini Dar na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), Halima James Mdee ambaye aliwekwa Mahabusu ya Gereza la Segerea, Dar kwa saa kumi na mbili amesimulia mambo matano mazito aliyokumbana nayo hali iliyomfanya atokwe machozi. Mbunge wa Jimbo la Kawe jijini Dar na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

 

10 years ago

Habarileo

Mdee, wenzake kizimbani leo

MBUNGE wa Jimbo la Kawe (Chadema), Halima Mdee (35) na wenzake wanane wanaokabiliwa na mashitaka ya kutotii amri halali ya Jeshi la Polisi wanatarajia kusomewa maelezo ya awali leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

 

10 years ago

GPL

MDEE NA WENZAKE WAPATA DHAMANA

Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Halima Mdee. Mbunge wa Kawe, Halima Mdee na wenzake 8 leo wamepata dhamana katika Mahakama ya Kisutu, Dar. Kesi yao kutajwa tena Oktoba 21, 2014. Siku ya jana washtakiwa hao walipanda kizimbani mbele ya Hakimu Mkazi Kaluyenda na kusomewa mashtaka mawili na Wakili wa Serikali Mkuu, Kangola aliwataja washtakiwa kuwa ni Mbunge wa Kawe, Mdee, Rose Moshi, Penina...

 

10 years ago

Mwananchi

Mahakama yampa onyo Mdee wenzake

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewataka wadhamini wa Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (35) na washtakiwa wenzake kuwa makini na ratiba zao ili kuepuka kuchelewesha kesi inayowakabili mahakamani hapo.

 

10 years ago

Habarileo

Halima Mdee, wenzake wapandishwa Kisutu

MWENYEKITI wa Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) na Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (35) na wenzake wanne walisomewa maelezo ya awali jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo walikubali kuwa wafuasi wa Chadema na kwamba wanafahamiana.

 

10 years ago

GPL

KESI YA HALIMA MDEE, WENZAKE KUENDELEA KESHO

Mwenyekiti wa BAWACHA, Halima Mdee (mwenye nguo nyekundu) akitoka mahakamani.
...Akisalimiana na Ofisa wa Oparesheni wa Kinondoni, Emmanuel Tille (mwenye tai) ambaye ni shahidi upande wa jeshi la polisi. KESI inayowakabili…

 

9 years ago

Mwananchi

Mdee na wenzake huru, polisi wawakamata tena

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imefuta kesi ya kufanya mkusanyiko usio halali kwa lengo la kwenda Ikulu iliyokuwa inamkabili mbunge mteule wa Jimbo la Kawe (Chadema), Halima Mdee (35) na wenzake wanane, kwa kuwaachia huru kisha polisi kuwatia mbaroni tena.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani