Halima Mdee akosa dhamana, alala Segerea
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) na Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (35), jana alikosa dhamana na kupelekwa rumande katika Gereza la Segerea hadi leo maombi ya dhamana yake yatakaposikilizwa tena.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima29 Oct
Chid Benz akosa dhamana, asota Segerea
MKALI wa Muziki wa Hip Hop nchini, Rashid Makwilo ‘Chid Benz’ jana ameswekwa rumande Segerea, kwa kushindwa masharti ya dhamana, baada ya kupandishwa kizimbani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa...
10 years ago
VijimamboMBUNGE WA KAWE CHADEMA ALALA SEGEREA BAADA YA KUSHINDWA MASHARTI YA DHAMANA
Mdee na wenzake nane mapema leo walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar na kukana tuhuma zinazowakabili.Mdee na wenzake hao wanashitakiwa kwa makosa mawili kototii amri za maofisa wa polisi na kufanya maandamano kinyume na sheria Jumamosi iliyopita ya Oktoba...
10 years ago
MichuziCHEDI BENZI AKOSA DHAMANA, KUSOTA SEGEREA HADI NOVEMBA 11, 2014
Msanii wa Hip Hop, Rshid Makwiro ‘Chidi...
9 years ago
VijimamboALIYEKUWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI LAURENCE MASHA AKOSA DHAMANA AENDA MAHABUSU YA GEREZA LA SEGEREA
10 years ago
GPLHALIMA MDEE ASIMULIA MAMBO 5 MAZITO YA SEGEREA
10 years ago
Mwananchi19 Oct
Saa 24 za Halima Mdee Segerea zaibua mazito
9 years ago
Mwananchi13 Oct
Mchina wa meno ya tembo akosa dhamana
11 years ago
GPL13 Jul
ALIYEMTESA MTOTO KWA SIKU 730 AKOSA DHAMANA, ARUDISHWA RUMANDE
10 years ago
Habarileo08 Oct
Halima Mdee rumande
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (35) na wanachama wenzake wanane wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jana walipelekwa rumande baada ya kushindwa kukamilisha taratibu za dhamana katika kesi inayowakabili ya kutotii amri halali ya Polisi na kufanya mkusanyiko bila kibali.