Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ALIYEMTESA MTOTO KWA SIKU 730 AKOSA DHAMANA, ARUDISHWA RUMANDE

WAKILI wa kujitegemea, Yasinta Rwechungura (44) anayekabiliwa na kesi ya kumtesa, kumpiga na kumnyanyasa mfanyakazi wake wa ndani, Merina Mathayo (15) amezidi kusota rumande baada ya kushindwa kutimiza masharti ya dhamana Julai 11, 2014 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ALIYEMTESA HAUSIGELI SIKU 730 AHENYESHWA!

stori: Haruni Sanchawa na Deogratius Mongela Mwanamke Yasinta Rwechengura, mkazi wa Boko wilayani Kinondoni, Dar anayekabiliwa na kesi ya kutuhumiwa kumtesa hausigeli wake kwa miaka miwili (siku 730), amejikuta akihenyeshwa mahakamani.Hayo yamemkuta juzi alipofikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Wilaya ya Kinondoni kujibu tuhuma zinazomkabili ambapo alikuwa akipokea amri kutoka kwa askari na kumfanya kukosa raha. ...

 

11 years ago

GPL

MTOTO ATESWA SIKU 730!

Stori: Deogratius Mongela
SIKU 730 au miaka miwili ya unyama na ukatili uliombatana na vipigo mfululizo, vimempa wakati mgumu katika maisha mtoto wa miaka 15, Melina aliyefika katika Jiji la Dar es Salaam mwaka 2012 akitokea  kijijini Ishozi- Kiziba, Kagera kwa lengo la kufanya kazi za ndani, yaani ‘hausigeli’. Mtoto Melina wa (15) aliyefika katika Jiji la Dar es Salaam mwaka 2012 akitokea kijijini Ishozi-...

 

11 years ago

GPL

MTOTO ALIYETESWA SIKU 730 ATOROSHWA

Stori: MWANDISHI WETU
YULE binti Melina (15) aliyeandikwa kwenye Gazeti la Uwazi toleo la Juni 17, mwaka huu kwa kichwa cha habari kisemacho; MTOTO ATESWA SIKU 730 amedaiwa kutoroshwa na kupelekwa kusikojulikana. Mtoto Melina akiwa hospitali. Binti huyo aliyekuwa akifanya kazi za ndani ‘hausigeli,’ alidaiwa kuteswa na bosi wake aliyejulikana kwa jina la Yasinta Rwechungura, mkazi wa Boko Magengeni jijini Dar...

 

11 years ago

Mwananchi

Sheikh Issa Ponda arudishwa rumande

Kiongozi wa Taasisi ya Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda ameendelea kusota rumande baada ya kesi yake kuahirishwa kwa mara nyingine kwa kuwa jalada la kesi yake, halijarudi kutoka Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam lilikoitishwa kwa ajili ya mapitio.

 

10 years ago

Mwananchi

Mchina wa meno ya tembo akosa dhamana

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imekataa maombi ya dhamana ya kesi ya kusafirisha nje ya nchi meno ya tembo yenye thamani ya Sh5.4 bilioni inayowakabili watu watatu, akiwamo raia wa China, Yang Glan.

 

11 years ago

Michuzi

CHID BENZ APANDISHWA KIZIMBANI JIJINI DAR LEO KWA SHITAKA LA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA,AKOSA DHAMANA, KESI YAKE KUTAJWA TENA NOVEMBA 11

MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya (bongo fleva), Rashidi Abdallah Makwaro (29), maarufa kama Chid Benz, amefikishwa mahakamani akikabiliwa na mashitaka matatu ikiwemo kukutwa na Dawa za kulevya aina ya Heroin yenye thamani ya Sh. 38,638, bangi ya Sh. 1,720 na vifaa ya kuvutia dawa hizo kijiko na kigae.
Chid Benz amefikishwa  mapema leo saa 3:00 asubuhi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kusomewa mashitaka yake. Saa 7:50 mchana alifikishwa mbele ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Halima Mdee akosa dhamana, alala Segerea

Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) na Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (35), jana alikosa dhamana na kupelekwa rumande katika Gereza la Segerea hadi leo maombi ya dhamana yake yatakaposikilizwa tena.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chid Benz akosa dhamana, asota Segerea

MKALI wa Muziki wa Hip Hop nchini, Rashid Makwilo ‘Chid Benz’ jana ameswekwa rumande Segerea, kwa kushindwa masharti ya dhamana, baada ya kupandishwa kizimbani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa...

 

11 years ago

Michuzi

CHEDI BENZI AKOSA DHAMANA, KUSOTA SEGEREA HADI NOVEMBA 11, 2014

 Msanii wa Hip Hop, Rshid Makwiro ‘Chidi Benzi’ akisindikizwa na askari Polisi wakati akiingia katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini leo Dar es Salaam kujibu mashtaka matatu likiwemo la kukutwa na dawa za kulevya kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande) Msanii wa Hip Hop, Rshid Makwiro ‘Chidi Benzi’ akiingia Mahakamani leo. Chidi Benzi akiwa chini ya ulinzi wa askari Polisi.
Msanii wa Hip Hop, Rshid Makwiro ‘Chidi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani