Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mdee, wenzake kizimbani leo

MBUNGE wa Jimbo la Kawe (Chadema), Halima Mdee (35) na wenzake wanane wanaokabiliwa na mashitaka ya kutotii amri halali ya Jeshi la Polisi wanatarajia kusomewa maelezo ya awali leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kigwangwalla, wenzake wapandishwa kizimbani

Mbunge wa Nzega, Dk. Hamis Kigwangwalla na wenzake 11 wamefikishwa mahakamani wilayani Nzega, mkoani Tabora wakikabiliwa na mashtaka matatu ya uharibifu wa mali na kufanya mkutano bila kibali.

 

10 years ago

GPL

MDEE NA WENZAKE WAPELEKWA SEGEREA

Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Halima Mdee. Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Halima Mdee na wenzake tisa wamepelekwa katika Gereza la Segerea jijini Dar baada ya kushindwa kutimiza baadhi ya masharti ya dhamana yao. Mdee na…

 

10 years ago

GPL

MDEE NA WENZAKE WAPATA DHAMANA

Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Halima Mdee. Mbunge wa Kawe, Halima Mdee na wenzake 8 leo wamepata dhamana katika Mahakama ya Kisutu, Dar. Kesi yao kutajwa tena Oktoba 21, 2014. Siku ya jana washtakiwa hao walipanda kizimbani mbele ya Hakimu Mkazi Kaluyenda na kusomewa mashtaka mawili na Wakili wa Serikali Mkuu, Kangola aliwataja washtakiwa kuwa ni Mbunge wa Kawe, Mdee, Rose Moshi, Penina...

 

10 years ago

Habarileo

Halima Mdee, wenzake wapandishwa Kisutu

MWENYEKITI wa Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) na Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (35) na wenzake wanne walisomewa maelezo ya awali jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo walikubali kuwa wafuasi wa Chadema na kwamba wanafahamiana.

 

10 years ago

Mwananchi

Mahakama yampa onyo Mdee wenzake

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewataka wadhamini wa Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (35) na washtakiwa wenzake kuwa makini na ratiba zao ili kuepuka kuchelewesha kesi inayowakabili mahakamani hapo.

 

10 years ago

GPL

KESI YA HALIMA MDEE, WENZAKE KUENDELEA KESHO

Mwenyekiti wa BAWACHA, Halima Mdee (mwenye nguo nyekundu) akitoka mahakamani.
...Akisalimiana na Ofisa wa Oparesheni wa Kinondoni, Emmanuel Tille (mwenye tai) ambaye ni shahidi upande wa jeshi la polisi. KESI inayowakabili…

 

9 years ago

Mwananchi

Mdee na wenzake huru, polisi wawakamata tena

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imefuta kesi ya kufanya mkusanyiko usio halali kwa lengo la kwenda Ikulu iliyokuwa inamkabili mbunge mteule wa Jimbo la Kawe (Chadema), Halima Mdee (35) na wenzake wanane, kwa kuwaachia huru kisha polisi kuwatia mbaroni tena.

 

10 years ago

GPL

HALIMA MDEE NA WENZAKE WAENDELEA KUSOTA RUMANDE

Mdee (wa nne kulia) na watuhumiwa wenzake wakielekea mahakamani. Watuhumiwa wakishuka chumba cha mahakama.…

 

10 years ago

Michuzi

KAMANDA SIRO ATOA USHAHIDI WAKE KATIKA KESI YA MH. MDEE NA WENZAKE

Na Mwene Said wa Blog ya Jamii, Dar es Salaam
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeambiwa na Naibu Kamishna wa Polisi, Kamanda Simon Siro (54), ambaye amedai mahakamani kwamba alitoa zuio la kuandamana kwenda Ikulu kwa Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha) kwa sababu maandamano hayo yangesababisha uvunjifu wa amani.
Alitoa madai hayo, wakati akitoa ushahidi dhidi ya Mbunge Halima Mdee na wenzake, kwamba baada ya kupitia vigezo vya kiusalama, njia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani