Lema, wenzake waachiwa kwa dhamana
Mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema na wenzake wanne wameachiliwa kwa dhamana leo baada ya kushikiliwa na polisi tangu jana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLWAFUASI 29 WA CUF WAACHIWA KWA DHAMANA
WAFUASI 29 kati ya 30 waliokuwa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam wameachiwa leo baada ya kutimiza masharti ya dhamana. Wafuasi hao walikamatwa majuzi huko Mtoni Mtongani, Dar wakati Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba akielekea Mbagala kuwataka wananchi watawanyike baada ya maandamano ya chama hicho kuzuiliwa na jeshi la polisi. Wafuasi hao 29 wameachiwa katika Mahakama ya Hakimu...
9 years ago
Mwananchi04 Nov
Wanachama wa Chadema waachiwa kwa dhamana
Wanachama watano wa Chadema pamoja na watu wengine watatu wasio raia wa Tanzania wanaokabiliwa na mashtaka ya makosa ya uhalifu wa kimtandao, wameachiwa kwa dhamana baada ya kukamilisha masharti waliyopewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
9 years ago
MichuziHASSANOO NA WENZAKE WAACHIWA NA KUKAMATWA TENA KWA TUHUMA ZA UHUJUMU UCHUMI
Na Mwene Nantaha wa Blogu ya Jamii. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoani Pwani (Corefa), Hassani Othman maarufu kama Hasanoo (44) na wenzake leo waliachiwa huru na kisha kukamatwa na kushtakiwa upya kwa mashtaka ya uhujumu uchumi.
Kadhalika Hasanoo alifutiwa mashitaka matatu ya uhujumu uchumi pamoja na kusafirisha pembe za ndovu kutoka Dar es Salaam kwenda Hong Kong, zenye thamani ya Sh. bilioni 1.1, chini ya kifungu cha 91 kidogo cha (1) mbele ya Hakimu Mkazi Thomas Simba....
10 years ago
Mwananchi22 Jun
Lema, wenzake 24 rumande kwa saa nne
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema na watu wengine 24 juzi walijikuta wakiwekwa mikononi mwa polisi kwa saa nne kutokana na purukushani za uandikishaji wa wapigakura katika mfumo wa BVR.
9 years ago
Mwananchi03 Dec
Lipumba na wenzake waachiwa huru
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru Profesa Ibrahim Lipumba ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF na wafuasi 30.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U8LSueg-IYqb4Oc0XUJ-eLBrniCyROwO068-Xs-6IetZAH3*CJnk*V-lIIqYH1IqY2KJon-bl-4CBhBJAT32s*-6DF6ZDyRB/breakingnews.gif)
MDEE NA WENZAKE WAPATA DHAMANA
Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Halima Mdee. Mbunge wa Kawe, Halima Mdee na wenzake 8 leo wamepata dhamana katika Mahakama ya Kisutu, Dar. Kesi yao kutajwa tena Oktoba 21, 2014. Siku ya jana washtakiwa hao walipanda kizimbani mbele ya Hakimu Mkazi Kaluyenda na kusomewa mashtaka mawili na Wakili wa Serikali Mkuu, Kangola aliwataja washtakiwa kuwa ni Mbunge wa Kawe, Mdee, Rose Moshi, Penina...
10 years ago
Tanzania Daima17 Oct
Watuhumiwa kujipatia mil. 128 kwa udanganyifu waachiwa huru
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewaachia huru watu wawili waliokuwa wakikabiliwa na kosa la kujipatia sh milioni 128.3 kwa njia ya udanganyifu pamoja na kuingilia mawasiliano ya mtandao wa simu....
10 years ago
Mwananchi15 Jan
‘Panya Road’ 119 waachiwa kwa kukosekana ushahidi 959 wafikishwa mahakamani
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu Dar es Salaam limewaachia huru vijana 119 wanaodaiwa  kujihusisha na vitendo vya kihalifu maarufu kama ‘panya road’  baada ya kukosekana kwa ushahidi wa kutosha.
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-ccywt8_t4fM/VLgZrst0BuI/AAAAAAAAmh8/8dpuoWtOo78/s72-c/kova1.jpg)
Panya Road 119 Waachiwa Kwa Kukosa Ushahidi, 959 Wafikishwa Mahakani
![](http://4.bp.blogspot.com/-ccywt8_t4fM/VLgZrst0BuI/AAAAAAAAmh8/8dpuoWtOo78/s640/kova1.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania