Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanachama wa Chadema waachiwa kwa dhamana

Wanachama watano wa Chadema pamoja na watu wengine watatu wasio raia wa Tanzania wanaokabiliwa na mashtaka ya makosa ya uhalifu wa kimtandao, wameachiwa kwa dhamana baada ya kukamilisha masharti waliyopewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WAFUASI 29 WA CUF WAACHIWA KWA DHAMANA

WAFUASI 29 kati ya 30 waliokuwa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam wameachiwa leo baada ya kutimiza masharti ya dhamana. Wafuasi hao walikamatwa majuzi huko Mtoni Mtongani, Dar wakati Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba akielekea Mbagala kuwataka wananchi watawanyike baada ya maandamano ya chama hicho kuzuiliwa na jeshi la polisi. Wafuasi hao 29 wameachiwa katika Mahakama ya Hakimu...

 

9 years ago

Mwananchi

Lema, wenzake waachiwa kwa dhamana

Mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema na wenzake wanne wameachiliwa kwa dhamana leo baada ya kushikiliwa na polisi tangu jana.

 

5 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA KAMATI YA MAWAZIRI WENYE DHAMANA YA MANEJIMENTI YA MAAFA KWA NCHI WANACHAMA WA SADC

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoka katika ukumbi wa mkutano wa hoteli ya Madinat Al Bahr mbweni Jijini Zanzibar, baada ya kuufungua mkutano huo, (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,Bunge,Kazi , Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama na (kushoto kwa Rais) Katibu Mtendaji SADC.Dkt. Stergomena Lawrence Tax.(Picha na Ikulu).WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Makada 12 CHADEMA waachiwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia kwa dhamana makada 12 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), waliokamatwa na kutuhumiwa kufanya maandamano karibu na Ofisi za Mkuu wa Mkoa Dar...

 

10 years ago

Dewji Blog

CCM Singida yabomoa CHADEMA kwa kukomba wanachama wake 150

DSC00412

Katibu wa itikadi na uenezi wilaya ya Singida vijijini, Halima Ng’imba, akikabidhi kadi za CCM kwa waliokuwa wanachama wa CHADEMA 150 waliohamia CCM. DSC00417 DSC00422 Katibu wa itikadi na uenezi wilaya ya Singida vijijini, Halima Ng’imba, akihutubia kwenye mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na wakazi wa kata ya Misughaa.Mkutano huo uliofanyikia kwenye kijiji cha Sakaa,uliitishwa maalum kwa ajili ya wanachama 150 kutoka CHADEMA kuhamia CCM. DSC00407 Kikundi cha burudani cha CCM cha kijiji cha Sakaa kata ya...

 

10 years ago

Michuzi

CHIKAWE AIBOMOA NGOME YA CHADEMA NACHINGWEA,VIGOGO, WANACHAMA WAO WARUDI KWA KISHINDO CCM

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (watano kulia waliosimama) akiwa na wanachama wapya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kukikimbia chao cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Wananchama hao 23 wakiongozwa na aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Wilaya ya Nachingwea na Kaimu Mwenyekiti wa Umoja wa Akina Mama wa chama hicho wilayani Nachingwea, Manufreda Malenga (watano kushoto waliosimama) walifanyiwa sherehe kubwa iliyofanyika...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU CHADEMA,ZANZIBAR SALUM MWALIM ATUNUKU VYETI KWA WANACHAMA WA CHASO MKOA WA KILIMANJARO

Naibu Katibu mkuu wa Chadema Taifa upande wa Zanzibar Salum Mwalimu akizungumza wakati wa mahafali ya Chaso mkoa wa Kilimanjaro yaliyofanyika katika shule ya sekondari Majengo.
Naibu katibu mkuu Chadema Zanzibar,Salum Mwalimu akitunuku yeti kwa wanafunzi wana tarajia kumaliza elimu ya chuo kikuu ambao ni wanachama wa Chaso mkoa wa Kilimanjaro.Baadhi ya wanachama wa Chaso  kutoka vyuo mbalimbali mkoa wa Kilimanjaro wakiwa katimsikiliza Naibu katibu mkuu wa Chadema taifa,upande wa Zanzibar...

 

10 years ago

Habarileo

Wafuasi wa Chadema wapata dhamana

WAFUASI watatu wa Chadema wanaokabiliwa na mashitaka ya kutotii amri ya Jeshi la Polisi na kuingia katika Makao Makuu ya Jeshi hilo kinyume cha sheria, wamepata dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA CCM KALENGA ZATINGA KIJIJI ALICHOZALIWA MGOMBEA WA CHADEMA, MWENYEKITI WA CHADEMA NA WANACHAMA 50 WATIMKIA CCM

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kijiji cha Wangama, Fred Mgata (kulia) akikabidhi kadi za chyama hicho kwa Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga baada ya yeye na wanachama wengine 50 wa Chadema kuamua kukihama na kujiunga CCM katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika  katika Kijiji hicho kilichopo Kata ya Luhota, Iringa Vijijini leo. Mgombea ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chadema ambaye ni mzaliwa wa kijiji hicho,  Grace Tendega alikuwa chini ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani