WAFUASI 29 WA CUF WAACHIWA KWA DHAMANA
WAFUASI 29 kati ya 30 waliokuwa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam wameachiwa leo baada ya kutimiza masharti ya dhamana. Wafuasi hao walikamatwa majuzi huko Mtoni Mtongani, Dar wakati Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba akielekea Mbagala kuwataka wananchi watawanyike baada ya maandamano ya chama hicho kuzuiliwa na jeshi la polisi. Wafuasi hao 29 wameachiwa katika Mahakama ya Hakimu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLWAFUASI WA CUF WAPATA DHAMANA
10 years ago
Mwananchi30 Jan
Wafuasi 30 wa CUF wapata dhamana Kisutu
9 years ago
Mwananchi04 Nov
Wanachama wa Chadema waachiwa kwa dhamana
9 years ago
Mwananchi04 Sep
Lema, wenzake waachiwa kwa dhamana
10 years ago
StarTV28 Jan
Polisi yatawanya wafuasi wa CUF kwa mabomu.
Na Glory Matola,
Dar es Salaam.
Jeshi la Polisi limelazimika kulipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Wananchi CUF waliojiandaa kuandamana hadi Viwanja vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya kumbukumbu ya mauaji ya baadhi ya wafuasi wake huko Zanzibar.
Pamoja na mabomu hayo, Jeshi hilo pia lilimkamata Mwenyekiti wa chama hicho Profesa Ibrahimu Lipumba, baadhi ya wanachama na mwandishi wa habari wa gazeti la Jambo Leo na kupelekwa kituo...
10 years ago
GPL04 Feb
10 years ago
Habarileo25 Sep
Wafuasi wa Chadema wapata dhamana
WAFUASI watatu wa Chadema wanaokabiliwa na mashitaka ya kutotii amri ya Jeshi la Polisi na kuingia katika Makao Makuu ya Jeshi hilo kinyume cha sheria, wamepata dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
10 years ago
GPLLIPUMBA NA WAFUASI WAKE WAPATA DHAMANA UPYA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-n8AlC8yli5s/VK-cHjr7FvI/AAAAAAAG8LY/c45OIeQp1rk/s72-c/MMGM4299.jpg)
CCM YALAANI VIKALI VURUGU ZILIZOFANYWA NA WAFUASI WA CHADEMA NA CUF KWA VIONGOZI WAO WA SERIKALI ZA MITAA.
![](http://1.bp.blogspot.com/-n8AlC8yli5s/VK-cHjr7FvI/AAAAAAAG8LY/c45OIeQp1rk/s1600/MMGM4299.jpg)
Kikao hicho cha Kamati Kuu kitatanguliwa na kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu kitakachofanyika Januari 10, jijini Dar es Salaam.
Wakati huo huo CCM inalaani vikali vurugu zilizofanywa na wafuasi wa Chadema na CUF kwa viongozi wetu wa serikali za mitaa katika maeneo kadhaa nchini ikiwemo mikoa ya...