Polisi yatawanya wafuasi wa CUF kwa mabomu.
Na Glory Matola,
Dar es Salaam.
Jeshi la Polisi limelazimika kulipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Wananchi CUF waliojiandaa kuandamana hadi Viwanja vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya kumbukumbu ya mauaji ya baadhi ya wafuasi wake huko Zanzibar.
Pamoja na mabomu hayo, Jeshi hilo pia lilimkamata Mwenyekiti wa chama hicho Profesa Ibrahimu Lipumba, baadhi ya wanachama na mwandishi wa habari wa gazeti la Jambo Leo na kupelekwa kituo...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi11 Nov
Polisi yawatawanya wafuasi wa Mbowe kwa mabomu
10 years ago
Mtanzania29 Oct
Polisi Kagera wasambaratisha wafuasi wa Mdee kwa mabomu
![Halima Mdee](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/10/Halima-Mdee.jpg)
Halima Mdee
Na Mwandishi Wetu, Kyerwa
JESHI la Polisi Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera limetumia mabomu ya machozi kutawanya wananchi waliojitokeza kumpokea Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha), Halima Mdee.
Walilazimika kutumia mabomu wakati Mdee alipokuwa anakwenda kusaini kitabu cha wageni kwenye ofisi za chama hicho.
Mbali na kutumia mabomu, jeshi hilo limezuia mikutano yote iliyokuwa ihutubiwe na Mdee jana kwa madai ya kupata taarifa za kiitelijensia kuwa...
9 years ago
Mtanzania16 Nov
Polisi Mwanza watumia mabomu kutawanya wafuasi Chadema
NA JOHN MADUHU, MWANZA
JESHI la Polisi mkoani Mwanza, jana lililazimika kutumia mabomu ya machozi ili kuwatawanya wafuasi zaidi ya 500 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), waliokuwa wamefurika katika Hospitali ya Rufaa Bugando kwa ajili ya kushuhudia mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Geita marehemu Alfonce Mawazo ambaye alifariki dunia kwa kukatwa mapanga.
Mawazo alifariki juzi katika mazingira ya kutatanisha huku kifo chake kikihusishwa na masuala ya...
11 years ago
Habarileo12 Jun
Mabomu yatawanya machinga Mwanza
POLISI mkoani hapa wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya machinga waliocharuka baada ya kuona vibanda vyao walivyojenga maeneo yasiyoruhusiwa vikibomolewa.
10 years ago
GPLBUNGE LAAHIRISHWA BAADA YA VURUGU KUHUSU POLISI KUWASHAMBULIA WAFUASI WA CUF
10 years ago
Mwananchi28 Jan
Mabomu yarindima Dar:Ni wakati polisi wakizuia maandamano ya CUF
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-vh-a-2XiU-k/VVypBvGsC5I/AAAAAAADTZo/tQNKTNZrvhA/s72-c/MB1.jpg)
TUME ya haki za binadamu yatoa taarifa ya uchunguzi wa tuhuma dhidi ya Jeshi la Polisi za kuwapiga na kuwazalilisha Viongozi na Wafuasi wa CUF
![](http://1.bp.blogspot.com/-vh-a-2XiU-k/VVypBvGsC5I/AAAAAAADTZo/tQNKTNZrvhA/s640/MB1.jpg)
10 years ago
GPLWAFUASI 29 WA CUF WAACHIWA KWA DHAMANA
10 years ago
GPL04 Feb