KAMPENI ZA CCM KALENGA ZATINGA KIJIJI ALICHOZALIWA MGOMBEA WA CHADEMA, MWENYEKITI WA CHADEMA NA WANACHAMA 50 WATIMKIA CCM
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kijiji cha Wangama, Fred Mgata (kulia) akikabidhi kadi za chyama hicho kwa Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga baada ya yeye na wanachama wengine 50 wa Chadema kuamua kukihama na kujiunga CCM katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika katika Kijiji hicho kilichopo Kata ya Luhota, Iringa Vijijini leo. Mgombea ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chadema ambaye ni mzaliwa wa kijiji hicho, Grace Tendega alikuwa chini ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-0xp78SG4PkY/UxX03BEAALI/AAAAAAACbkw/L17ddmPV2z8/s72-c/11.jpg)
KAMPENI UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA,CCM YAZIDI KUIVURUGA CHADEMA,YAMNG`OA MWENYEKITI WAKE.
![](http://4.bp.blogspot.com/-0xp78SG4PkY/UxX03BEAALI/AAAAAAACbkw/L17ddmPV2z8/s1600/11.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-l2fvY8hMUX0/UxX19gFGvUI/AAAAAAACbmI/NokrkODfpd0/s1600/1.+MWENYEKITI+wa+Kitongoji+cha+Lupembelwasenga,+Jimbo+la+Kalenga,+Iringa+Vijijini,+kwa+tiketi+ya+Chadema,+Ezekiel+Kibiki.jpg)
10 years ago
Vijimambo16 Nov
WANACHAMA CHADEMA KALENGA MKOANI IRINGA WAHAMIA CCM
11 years ago
Michuzi20 Feb
PINGAMIZI LA CHADEMA DHIDI YA MGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA KALENGA LATUPWA
Lile pingamizi lililokuwa limewekwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) dhidi ya mgombea ubunge katika jimbo la Kalenga mkoani Iringa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) limetupwa.
Katika pingamizi lao lilowasilishwa juzi, Chadema walikuwa wanapinga Godfrey Mgimwa kugombea ubunge kupitia CCM kama alivyoomba kwa kuwa sio raia wa Tanzania.
Tetesi za tatizo la uraia wa Godfrey Mgimwa zilisambaa mjini Iringa baada ya Chadema kuweka pingamizi hilo.
Katika Pingamizi...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-gQnfxOicahE/XoiolVvnyPI/AAAAAAABnCA/V0W6x-fe8F4g8a1lDWO24plYQa4luco2gCLcBGAsYHQ/s72-c/pic%252Bchadema%252Btarime.jpg)
KIGOGO WA CHADEMA NA WENZAKE 50 WATIMKIA CCM
![](https://1.bp.blogspot.com/-gQnfxOicahE/XoiolVvnyPI/AAAAAAABnCA/V0W6x-fe8F4g8a1lDWO24plYQa4luco2gCLcBGAsYHQ/s640/pic%252Bchadema%252Btarime.jpg)
Joseph na wenzake wamejiunga na CCM leo Jumamosi Aprili 4, 2020 katika ofisi za chama hicho Tarime na kupokelewa na naibu waziri wa Tamisemi, Mwita Waitara.
Wilaya ya Tarime ina majimbo mawili yanayoongozwa na Chadema ambayo ni Tarime Mjini linaloongozwa na Esther Matiko na Tarime Vijijini...
10 years ago
Mtanzania10 Aug
Vigogo CCM Arusha watimkia Chadema
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Onesmo Ole Nangole na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Mkoa huo, Isack Joseph, wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Ole Nangole na Joseph walifikia uamuzi huo jijini hapa jana na kusema kwa nyakati tofauti wamelazimika kuchukua uamuzi huo kwa kuwa utaratibu wa kumpata mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ulikiukwa.
Kwa mujibu wa wana CCM hao, wakati wa mchakato...
5 years ago
CCM BlogALIYEKUWA MENEJA KAMPENI WA MGOMBEA UMAKAMU WA RAIS CHADEMA ATIMKIA CCM
Na Amiri Kilagalila,Njombe
Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Chama cha NCCR Mageuzi,Mkuu wa Idara ya Sera na Itifaki CHADEMA,Mjumbe wa kamati ya Ukawa na kampeni meneja wa Mgombea wa Makam wa Rais Ukawa Bwana,Juju Martin Danda amepokelewa na Chama cha Mapinduzi CCM na kukabidhiwa kadi ya Chama hicho na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Njombe.
Akizungumza dhamira ya kujiunga na Chama hicho,Martin Danda amesema ni kutokana na uozo uliopo katika vyama vya upinzani.
“Nilifanya harakati nyingi...
10 years ago
Michuzi09 Aug
NANGOLE NA KADOGOO WA CCM ARUSHA, WATIMKIA CHADEMA
Uamuzi huo ulifanyika jana jijini Arusha katika moja ya hotel maarufu ambapo viongozi hao walipata wasaa wa kupokelewa na uongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA).
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/IMG_0361.jpg)
VIONGOZI WA CHADEMA GAIRO, MIKUMI WATIMKIA CCM