KIGOGO WA CHADEMA NA WENZAKE 50 WATIMKIA CCM

Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) Wilaya ya Tarime mkoani Mara nchini Tanzania, Mwita Joseph ‘white’ na wanachama wa chama hicho zaidi ya 50 wamejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM).
Joseph na wenzake wamejiunga na CCM leo Jumamosi Aprili 4, 2020 katika ofisi za chama hicho Tarime na kupokelewa na naibu waziri wa Tamisemi, Mwita Waitara.
Wilaya ya Tarime ina majimbo mawili yanayoongozwa na Chadema ambayo ni Tarime Mjini linaloongozwa na Esther Matiko na Tarime Vijijini...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziKAMPENI ZA CCM KALENGA ZATINGA KIJIJI ALICHOZALIWA MGOMBEA WA CHADEMA, MWENYEKITI WA CHADEMA NA WANACHAMA 50 WATIMKIA CCM
10 years ago
Mtanzania10 Aug
Vigogo CCM Arusha watimkia Chadema
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Onesmo Ole Nangole na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Mkoa huo, Isack Joseph, wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Ole Nangole na Joseph walifikia uamuzi huo jijini hapa jana na kusema kwa nyakati tofauti wamelazimika kuchukua uamuzi huo kwa kuwa utaratibu wa kumpata mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ulikiukwa.
Kwa mujibu wa wana CCM hao, wakati wa mchakato...
10 years ago
GPL
VIONGOZI WA CHADEMA GAIRO, MIKUMI WATIMKIA CCM
10 years ago
Michuzi09 Aug
NANGOLE NA KADOGOO WA CCM ARUSHA, WATIMKIA CHADEMA
Uamuzi huo ulifanyika jana jijini Arusha katika moja ya hotel maarufu ambapo viongozi hao walipata wasaa wa kupokelewa na uongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA).
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha...
10 years ago
Vijimambo23 Feb
Kigogo CCM Arusha ajiunga Chadema

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Kamati ya Siasa Mkoa wa Arusha, Francis Ikayo, amejiunga na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Mwanasiasa huyo aliyekuwa mmoja wa wana CCM waliowania uteuzi wa kuwania ubunge Jimbo la Longido mwaka 2010 na kuangushwa na Mbunge wa sasa Lekelu Laizer, alijiunga Chadema jana, akitaja sababu kuu tatu zilizomfanya kuchukua uamuzi huo.
Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la Namanga, mpakani...
5 years ago
MichuziCCM wamnasa Kigogo aliyewahi kuwa mkuu wa Idara ya Sera na Itifaki CHADEMA
Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Chama cha NCCR Mageuzi,Mkuu wa Idara ya Sera na Itifaki CHADEMA,Mjumbe wa kamati ya Ukawa na kampeni meneja wa Mgombea wa Makam wa Rais Ukawa Bwana,Juju Martin Danda amepokelewa na Chama cha Mapinduzi CCM na kukabidhiwa kadi ya Chama hicho na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Njombe.
Akizungumza dhamira ya kujiunga na Chama hicho,Martin Danda amesema ni kutokana na uozo uliopo katika vyama vya upinzani.
“Nilifanya harakati...
11 years ago
Tanzania Daima21 Apr
WanaCCM Mbeya watimkia CHADEMA
WANACCM zaidi ya 60 katika Kijiji cha Jojo, Kata ya Santilya, Mbeya Vijijini, wamejiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Kujiunga kwa wanachama hao CHADEMA, kumemtia hofu mtendaji wa...
10 years ago
Mwananchi19 Sep
Wanachama CCM watimkia ACT- Wazalendo
5 years ago
Michuzi
Njombe:Vijana zaidi ya 200 watimkia ofisi za CCM kumdhamini Magufuli

Katibu wa jumuiya ya vijana UVCCM mkoa wa Njombe Ndg,Amosi Kusakula amesema mara baada ya Mgombea nafasi ya Urais kupitia CCM Dkt, John Magufuli kuchukua fomu na kutangaza kutafuta...