Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM wamnasa Kigogo aliyewahi kuwa mkuu wa Idara ya Sera na Itifaki CHADEMA

Na Amiri Kilagalila,Njombe

Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Chama cha NCCR Mageuzi,Mkuu wa Idara ya Sera na Itifaki CHADEMA,Mjumbe wa kamati ya Ukawa na kampeni meneja wa Mgombea wa Makam wa Rais Ukawa Bwana,Juju Martin Danda amepokelewa na Chama cha Mapinduzi CCM na kukabidhiwa kadi ya Chama hicho na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Njombe.

Akizungumza dhamira ya kujiunga na Chama hicho,Martin Danda amesema ni kutokana na uozo uliopo katika vyama vya upinzani.

“Nilifanya harakati...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Aliyewahi kuwa katibu wa CHADEMA mkoa wa Njombe atimkia CCM

Na Amiri Kilagalila,Njombe

Aliyewahi kuwa katibu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) mkoa wa Njombe aliyepokelewa nafasi hiyo kwenye chaguzi za ndani za chama hicho mwaka 2019 Ndugu Alatanga Nyagawa,Leo ametangaza kukihama chama hicho na kurejea CCM kwa madai ya kukosekana kwa ajenda ndani ya upinzani.

Vile vile Alatanga amesema hakuna ubishi kwamba Serikali ya awamu ya Tano imepiga hatua kubwa katika shughuli za maendeleo na upinzani umekosa ajenda.

Alatanga ambaye aliwahi...

 

10 years ago

Michuzi

ALIYEWAHI KUGOMBEA UBUNGE CHADEMA MKOANI TANGA AHAMIA CCM.

Aliyewahi Kugombea Ubunge Tanga Mjini kwa tiketi ya chama cha CHADEMA mnamo mwaka 2010,Kassim Omar Mbarak almaarufu Makubel,ametangaza rasmi kuhamia chama cha CCM,baada ya kuvutiwa na hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana alipozungumza na wakazi wa Mji wa Tanga katika mkutano wa hadhara kuwashukuru wananchi walioichagua CCM kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Desemba 2014 nchi nzima ambapo mkoa wa Tanga umekuwa wa pili kwa kushinda kwa asilimia 97. 

 

10 years ago

Vijimambo

Kigogo CCM Arusha ajiunga Chadema

Mbunge wa Arumeru Magharibi, Jashua Nassari.

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Kamati ya Siasa Mkoa wa Arusha, Francis Ikayo, amejiunga na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

Mwanasiasa huyo aliyekuwa mmoja wa wana CCM waliowania uteuzi wa kuwania ubunge Jimbo la Longido mwaka 2010 na kuangushwa na Mbunge wa sasa Lekelu Laizer, alijiunga Chadema jana, akitaja sababu kuu tatu zilizomfanya kuchukua uamuzi huo.

Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la Namanga, mpakani...

 

5 years ago

CCM Blog

KIGOGO WA CHADEMA NA WENZAKE 50 WATIMKIA CCM

Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) Wilaya ya Tarime mkoani Mara nchini Tanzania, Mwita Joseph ‘white’ na wanachama wa chama hicho zaidi ya 50 wamejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM).

Joseph na wenzake wamejiunga na CCM leo Jumamosi Aprili 4, 2020 katika ofisi za chama hicho Tarime na kupokelewa na naibu waziri wa Tamisemi, Mwita Waitara.

Wilaya ya Tarime ina majimbo mawili yanayoongozwa na Chadema ambayo ni Tarime Mjini linaloongozwa na Esther Matiko na Tarime Vijijini...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI SIMBA APONGEZWA NA ILIYOKUWA IDARA YAKE KWA KUTEULIWA KUWA NAIBU KATIBU MKUU

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya akipokea zawadi kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati, Bw. Elibariki Maleko katika hafla fupi ya kumpongeza Balozi Simba kwa kuteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo. Kabla ya uteuzi huo Balozi Simba alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati. Hafla hiyo ilifanya katika Hoteli ya Southernsun Jijini Dar es Salaam Balozi Simba akitoa neno la shukrani kwa Watumishi wa...

 

5 years ago

Michuzi

CCM Njombe wamnasa Diwani wa kata ya MjiMwema

Na Amiri kilagalila,Njombe Chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Njombe, kimefanikiwa kumnasa na kumkabidhi kadi ya uanachama aliyekuwa diwani wa kata ya Mjimwema mjini Njombe kupitia tiketi ya CHADEMA Abuu Mtamike huku kikikiri kuwa amewasumbua kwa muda mrefu kama alivyowasumbua aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema mkoa Fakii Lulandala. Katika kikao cha kumpokea diwani huyo viongozi mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi na serikali wamesema bwana Mtamike sasa ameutambua ukweli juu ya kazi kubwa...

 

10 years ago

Vijimambo

CHADEMA Mbeya muda huu, itifaki ya ulinzi imezingatiwa

Ni mh. Mbowe, Msigwa, Mwalimu, Silinde wakiongozwa na Mh. Mbilinyi "Sugu"



 

10 years ago

GPL

DK SLAA ATEULIWA TENA KUWA KATIBU MKUU WA CHADEMA

Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa Chadema,  Dk. Willbrod Slaa, Naibu Katibu Mkuu Bara, John Mnyika kuwa na Salum Mwalim ambaye ni Naibu Katibu Mkuu Zanzibar.  MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Freeman Mbowe amewateua Dk. Willbrod Slaa kuwa Katibu Mkuu, John Mnyika kuwa Naibu Katibu Mkuu Bara na Salum Mwalim ambaye anakuwa Naibu Katibu Mkuu Zanzibar. Viongozi hao wameteuliwa jana...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI HASUNGA AITAKA IDARA YA SERA NA MIPANGO KUANISHA KIASI GANI CHA FEDHA KILICHOWEKEZWA KWENYE KILIMO

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza jambo wakati akizungumza na watumishi wa idara ya Sera na Mpingo katika ukumbi wa Wizara hiyo maarufu kama KILIMO IV Jijini Dodoma leo tarehe 22 Aprili 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza jambo wakati akizungumza na watumishi wa idara ya Sera na Mpingo katika ukumbi wa Wizara hiyo maarufu kama KILIMO IV Jijini Dodoma leo tarehe 22 Aprili 2020, Mwingine pichani ni Naibu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani