BALOZI SIMBA APONGEZWA NA ILIYOKUWA IDARA YAKE KWA KUTEULIWA KUWA NAIBU KATIBU MKUU
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya akipokea zawadi kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati, Bw. Elibariki Maleko katika hafla fupi ya kumpongeza Balozi Simba kwa kuteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo. Kabla ya uteuzi huo Balozi Simba alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati. Hafla hiyo ilifanya katika Hoteli ya Southernsun Jijini Dar es Salaam
Balozi Simba akitoa neno la shukrani kwa Watumishi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-SEZ4VPeIsjY/VUdd0sHGHiI/AAAAAAAHVIs/Pe6MGiI91fo/s72-c/download%2B(1).jpg)
NEWS ALERT: BALOZI MULAMULA ATEULIWA KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA, BALOZI SIMBA NAIBU WAKE
![](http://2.bp.blogspot.com/-SEZ4VPeIsjY/VUdd0sHGHiI/AAAAAAAHVIs/Pe6MGiI91fo/s1600/download%2B(1).jpg)
Kwa sasa Balozi Mulamula ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico.
Rais Kikwete pia amemteua Balozi Hassan Simba Yahya (chini) kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara hiyo ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Kwa sasa Balozi Yahya ni Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati Wizarani...
10 years ago
MichuziSPIKA MAKINDA APONGEZWA KWA KUTEULIWA KUWA RAIS WA MABUNGE YA SADC,MJINI DODOMA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-a7N0xoXWXoY/VWXSIvfddiI/AAAAAAAAeAY/AvLtOv6lolE/s72-c/IMG-20150527-WA0013.jpg)
RAIS KIKWETE AWAAPISHA KATIBU MKUU, NAIBU KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE NA BALOZI WA TANZANIA SAUDIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-a7N0xoXWXoY/VWXSIvfddiI/AAAAAAAAeAY/AvLtOv6lolE/s640/IMG-20150527-WA0013.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-ceZl_-FiM1w/VWXW2zZlSOI/AAAAAAAAeA8/G1BiVYu6OLc/s640/IMG-20150527-WA0020.jpg)
9 years ago
Dewji Blog30 Nov
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi ahamasisha Baraza la Wafanyakazi wa Idara ya jeshi la Polisi kufanya kazi kwa bidii!
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,John Mngodo,akizungumza na wajumbe wa mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Idara ya Jeshi la Polisi(hawapo pichani),wakati alipoalikwa kufunga mkutano huo uliofanyika Chuo cha Taaluma ya Polisi,Kilwa Road,jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu wa Baraza la Wafanyakazi,Stanford Busumbiro(kulia) akimpongeza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,John Mngodo, muda mfupi baada ya kumaliza kufunga mkutano wa Baraza la Wafanyakazi...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-czjvtJimf-M/VD6sBsx1AhI/AAAAAAAGqto/sNlEt6hH7JE/s72-c/unnamed%2B(31).jpg)
balozi kamala akutana na katibu mkuu wa taasisi ya kusambaza umeme vijijini na Mkuu Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa wa Jiji la Oestende la Ubelgji
![](http://2.bp.blogspot.com/-czjvtJimf-M/VD6sBsx1AhI/AAAAAAAGqto/sNlEt6hH7JE/s1600/unnamed%2B(31).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-6XOtwLRyYbI/VD6r1z_Z3TI/AAAAAAAGqtg/94WUNPb-mfs/s1600/unnamed%2B(30).jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-kIM-LmEPSMQ/VlttgprL37I/AAAAAAAIJFI/2x7iIkAFy1M/s72-c/pix%2B1.jpg)
NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AFUNGA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA IDARA YA JESHI LA POLISI
![](http://4.bp.blogspot.com/-kIM-LmEPSMQ/VlttgprL37I/AAAAAAAIJFI/2x7iIkAFy1M/s640/pix%2B1.jpg)
9 years ago
Dewji Blog13 Nov
HAPA KAZI TU: Naibu Katibu Mkuu Mambo ya ndani ya Nchi atembelea makao makuu ya Idara ya uhamiaji Kurasini jijini Dar es Salaam!
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo (kushoto), akisalimiana na Kamishna wa Uhamiaji (Utawala na Fedha), Piniel Mgonja , wakati wa ziara ya kikazi Makao Makuu ya Uhamiaji,Kurasini jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kushoto ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Sylvester Ambokile.
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Sylvester Ambokile (kushoto), akimuonesha Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo, baadhi ya Ofisi za Idara ya Uhamiaji,...
9 years ago
Dewji Blog22 Dec
Naibu Katibu Mkuu Samataba awaasa walimu kuwa wazalendo
Washiriki wa mafunzo ya ya kuwajengea uwezo Walimu na Wanafunzi katika Ufundishaji na Ujifunzaji kwa shule za sekondari (STEP) wakifuatilia mafunzo hayo katika kituo cha Shule ya sekondari Kilangalanga iliyopo wilayani kibaha Vijijini mkoani Pwani.
Walimu nchini wametakiwa kuwa wazalendo kwa kuhakikisha wanawafundisha watoto katika muda wa ziada ili kuwaongezea uwezo wa ufaulu katika mitihani yao.
Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-JdoAxTLSA80/VJhH66jzwAI/AAAAAAAG5G0/Bwt7rsmyt6w/s72-c/unnamed%2B(16).jpg)
BALOZI KAMALA AKUTANA NA NAIBU KATIBU MKUU WA BARAZA LA NISHATI DUNIANI
![](http://3.bp.blogspot.com/-JdoAxTLSA80/VJhH66jzwAI/AAAAAAAG5G0/Bwt7rsmyt6w/s1600/unnamed%2B(16).jpg)