Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Panya Road’ 119 waachiwa kwa kukosekana ushahidi 959 wafikishwa mahakamani

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu  Dar es Salaam limewaachia huru vijana 119 wanaodaiwa  kujihusisha na vitendo vya kihalifu  maarufu kama ‘panya road’  baada ya kukosekana kwa ushahidi wa kutosha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Panya Road 119 Waachiwa Kwa Kukosa Ushahidi, 959 Wafikishwa Mahakani

Vijana 119 ambao walikamatwa katika msako wa Panya Road Wameachiwa na Polisi baada ya Kukosa Ushahidi wa Moja kwa Moja ambao unawahusisha na tukio hilo ..Kamanda wa Polisi kanda ya Dar salaam Kova amesema japo wamewaachia wataendelea kufuatilia nyendo zao huko mtaani ,Pamoja na Kuwaachia hao kamanda Kova Amesema Vijana 959 wamepandishwa mahakamani kwa tuhuma hizo za kujihushisha na kikundi cha panya Road

 

5 years ago

Michuzi

Maafisa watendaji 7 wafikishwa mahakamani kwa tuhuma ya wizi wa kutumia mashine za POS

Na Amiri kilagalila,Njombe.
Takukuru mkoa wa Njombe imewafikisha mahakamani wilaya ya Makete maafisa 7 watendaji  wa vijiji kwa tuhuma ya wizi wa fedha Tshs.99,321,466/- za halmashauri ya wilaya ya Makete,ambazo zilikuwa ni makusanyo ya mapato ya halmashauri kwa kutumia mashine za POS (Point of Sale electronic Machine)
Mkuu wa Takukuru mkoa wa Njombe Bi.Domina Mukama, amesema kesi zilizofunguliwa mahakamani za maafisa watendaji hao wa vijiji ni.
1.CC.12/2020 Jamhuri dhidi ya Chrispin...

 

10 years ago

Habarileo

‘Serikali isilaumiwe kwa Panya Road’

UMOJA wa Makanisa mkoa wa Dar es Salaam umesema kuibuka kwa makundi ya kihalifu nchini, serikali haipaswi kulaumiwa.

 

9 years ago

StarTV

Watu 10 wafikishwa mahakamani Morogoro

Jeshi la Polisi limewafikishwa mahakamani watu 10 wanaotuhumiwa kuvamia kituo cha Polisi Mbingu wilayani Kilombero mkoani Morogoro na kukichoma moto hali iliyosababisha uharibifu wa mali na nyaraka mbalimbali za jeshi hilo. Washtakiwa hao wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro na kusomewa mashtaka yao na Wakili wa Serikali Sunday Hyere mbele ya hakimu mkazi Agripina Kimaze. Wakiwa Mahakamani watuhumiwa hawa wanasomewa Mashtaka yao na wakili wa Serikali Sunday Hyera, na...

 

10 years ago

Vijimambo

WIMBO WA PANYA ROAD KUTOKA KWA JOHN STEVE JITIRIRISHE HAPA CHINI

Baada ya vijana kutoka maeneo tofauti jijini Dar es salaam wanaofahamika kama Panya road kuharibu amani ya jiji Januari 2 2014, pamekuwa na stori nyingi kuhusu vijana hawa na mamb wanayofanya. Huyu msanii ameingia studio kufanya wimbo kuhusu panya road.

 

10 years ago

StarTV

Sakata la ESCROW, watatu wafikishwa mahakamani.

Na Josephine Mwaiswaga

Dar Es Salaam

 

Lile Sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow limezidi kuwaburuza wengine zaidi Mahakamani ambapo sasa Tume ya kudhibiti na kupambana na Rushwa TAKUKURU imewapandisha Kizimbani Watu Watatu Wakikabiliwa na makosa ya sita ya kupokea rushwa kutoka kwa Mkurugenzi wa zamani wa kampuni ya Independent Power Tanzania Ltd IPTL James Rugemalira.

 

Washtakiwa waliopandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ni pamoja na Julius Angello Mkurugenzi wa Fedha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani