MAHAKAMA YAMPA ADHABU YA KUFUA MASHUKA YA HOSPITAL DIWANI WA CHADEMA
Na Editha Karlo wa Globu ya jamii,Kigoma
MAHAKAMA ya Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma imempa adhabu ya kufua mashuka ya wagonjwa katika hospital ya Wilaya ya Kakonko na kuzibua mitaro ya barabarani Diwani wa kata ya Kasanda kupitia tiketi ya chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yeye na wenzake wanne kwa muda wa siku kumi na nne baada ya kukutwa na hatia ya makosa matatu.
Mbele ya hakimu mfawidhi wa mahakama ya Wilaya ya Kibondo Erick Marley,mwendesha mashitaka wa polisi Peter Makala...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo10 Apr
Diwani aadhibiwa kufua shuka za hospitali
DIWANI wa Kata ya Kasanda wilayani Kakonko, Dickson Barutwa (40) wa Chadema na wenzake watatu, wamehukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Kibondo mkoani hapa adhabu ya kufua shuka za wagonjwa katika hospitali ya wilaya ya Kakonko na kuzibua mitaro ya barabarani kwa siku 14 baada ya kukutwa na hatia ya makosa matatu.
9 years ago
Bongo515 Oct
FA yampa adhabu Jose Mourinho
10 years ago
Habarileo17 Apr
Mahakama yampa DC Kinondoni siku 7
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa siku saba kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paulo Makonda, kuwasilisha utetezi wake dhidi ya kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM, Dar es Salaam, John Guninita.
10 years ago
Mwananchi22 Oct
Mahakama yampa onyo Mdee wenzake
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/S5oOR1dkyIm9DK4T7mlAYSMXrZGOSpI4KcG-ZHxcNDKrzBCbQL3tPW*f9eAsb0G3rdPHezGeYFKaKnGJ7bdsLEV2FMtEYt1U/SUAREZ.jpg?width=650)
MAHAKAMA YAMPUNGUZIA ADHABU SUAREZ
10 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-oIc1FkhhKqM/VcNDkx4qvDI/AAAAAAAHuho/q9QQ46Vs_E0/s640/m1.jpg)
RAIS KIKWETE AAGA RASMI IDARA YA MAHAKAMA, YAMPA TUZO
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-K8WbqiA3-Kk/VenWjMjUjGI/AAAAAAABUyo/wE8SpsayEQ8/s72-c/kubenea.jpg)
MAHAKAMA KUU YAFUTA ADHABU YA KUFUNGIWA GAZETI LA MWANAHALISI
![](http://1.bp.blogspot.com/-K8WbqiA3-Kk/VenWjMjUjGI/AAAAAAABUyo/wE8SpsayEQ8/s640/kubenea.jpg)
Na Florence Majani
Dar es Salaam. Mahakama Kuu ya Tanzania leo imetoa hukumu yake na kulipa ushindi gazeti la Mwanahalisi baada ya mahakama hiyo kujiridhisha kuwa Waziri wa Habari na Utamaduni, Dk Fenella Mukangara hakufuata taratibu la kukifungia chombo hicho cha habari.Gazeti la Mwanahalisi lilifungiwa Julai 30, 2012 kwa amri ya Dk Mukangara...