MAHAKAMA KUU YAFUTA ADHABU YA KUFUNGIWA GAZETI LA MWANAHALISI

Mkurugenzi wa Mwanahalisi Publisher, Saed Kubenea akionesha magazeti ya Mwanahalisi katika moja ya mikutano aliyofanya na wanahabari. Picha ya Maktaba
Na Florence Majani
Dar es Salaam. Mahakama Kuu ya Tanzania leo imetoa hukumu yake na kulipa ushindi gazeti la Mwanahalisi baada ya mahakama hiyo kujiridhisha kuwa Waziri wa Habari na Utamaduni, Dk Fenella Mukangara hakufuata taratibu la kukifungia chombo hicho cha habari.Gazeti la Mwanahalisi lilifungiwa Julai 30, 2012 kwa amri ya Dk Mukangara...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi04 Sep
Mahakama Kuu yatengua adhabu ya kufungiwa gazeti la Mwanahalisi
11 years ago
Michuzi.jpg)
mahakama kuu yafuta tena maombi ya sheikh ponda kuodolewa shitaka la kukaidi amri halali
.jpg)
10 years ago
Uhuru Newspaper29 Jan
Hatuna mpango wa kulifungulia gazeti la Mwanahalisi-Nkamia
SERIKALI imesema haina mpango wa kulifungulia gazeti za Mwanahalisi, ambalo ililifungia kwa muda usiojulikana kutokana na ukiukwaji wa taaluma ya uandishi wa habari.
Aidha, imesema haina mpango wa kupunguza kodi ya uzalishaji wa magazeti kutokana na gharama ndogo ya kodi inayotoza kwenye magazeti hayo.
Kauli hiyo ilitolewa bungeni mjini hapa jana na Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia, wakati akijibu swali la nyongeza la Joseph Mbilinyi, (Mbeya Mjini-Chadema),...
11 years ago
Mwananchi21 Mar
Adhabu kwa waongo ni kufungiwa vikao vitatu
5 years ago
BBCSwahili25 Jun
Ubalozi wa Marekani waeleza kusikitishwa kwa kukamatwa kwa wapinzani na kufungiwa gazeti Tanzania
9 years ago
BBCSwahili06 Nov
Mahakama yafuta nyongeza ya mishahara ya walimu Kenya
11 years ago
GPL
MAHAKAMA YAMPUNGUZIA ADHABU SUAREZ
11 years ago
Bongo501 Aug
Mahakama ya kikatiba Uganda yafuta sheria dhidi ya ushoga
5 years ago
Michuzi
MAHAKAMA KUU KANDA DARESALAAM YATOA HUKUMU KWA MAHAKAMA MTANDAO