Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahakama yafuta nyongeza ya mishahara ya walimu Kenya

Korti ya Rufaa nchini Kenya imebatilisha nyongeza ya mishahara ya hadi asilimia 60 ambayo walimu wa serikali walikuwa wamepewa na mahakama ya chini.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Kenya:Walimu kupewa nyongeza ya asilimia 60

Walimu nchini Kenya wana kila la wanatarajiwa kupokea nyongeza ya mshahara kwa hadi asilimia 60.

 

10 years ago

Mtanzania

TUCTA yadai nyongeza ya mishahara

nmgayaNa John Maduhu, Mwanza

SHIRIKISHO la Vyama Vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), limeitaka Serikali kuhakikisha inaongeza kima cha chini cha mshahara ili kuwawezesha wafanyakazi kujikimu kimaisha.

Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Nicolaus Mgaya, wakati akisoma risala ya wafanyakazi mbele ya Rais Jakaya Kikwete wakati wa maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi duniani, iliyofanyika kitaifa katika uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza.

Mgaya alisema...

 

9 years ago

BBCSwahili

Walimu wakaidi amri ya mahakama Kenya

Vyama vya walimu nchini Kenya vimesema havitatekeleza amri ya mahakama iliyowataka kusitisha mgomo huo kwa siku tisini kuanzia leo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mahakama yasitisha mgomo wa walimu Kenya

Mgomo wa walimu nchini Kenya umesitishwa baada ya agizo la mahakama kwamba walimu warejee kazini wiki ijayo ikiwa afueni kwa wanafunzi

 

11 years ago

Tanzania Daima

Walimu wanaongoza kuibiwa mishahara

IMEELEZWA kwamba fedha za walimu wengi huibwa kwa njia ya mtandao licha ya umuhimu wa kada hiyo katika jamii ambayo huzalisha wataalamu mbalimbali.  Hayo yalibainishwa jana na Meneja wa Benki...

 

11 years ago

Bongo5

Mahakama ya kikatiba Uganda yafuta sheria dhidi ya ushoga

Baada ya Rais Uganda Yoweri Kaguta Museven kuasaini sheria kali dhidi ya watu wanaojihusisha na ushoga, mahakama ya kikatiba nchini Uganda imefutilia mbali sheria dhidi ya wapenzi wa jinsia moja ambayo ilisababisha mataifa ya magharibi kuinyima msaada. Kadhalika sheria hiyo ilizua gumzo sana sio tu Uganda bali kote duniani ambapo mataifa ya Magharibi yalilazimika kuingilia […]

 

9 years ago

Vijimambo

MAHAKAMA KUU YAFUTA ADHABU YA KUFUNGIWA GAZETI LA MWANAHALISI

Mkurugenzi wa Mwanahalisi Publisher, Saed Kubenea akionesha magazeti ya Mwanahalisi katika moja ya mikutano aliyofanya na wanahabari. Picha ya Maktaba 

Na Florence Majani
Dar es Salaam. Mahakama Kuu ya Tanzania leo imetoa hukumu yake na kulipa ushindi gazeti la Mwanahalisi baada ya mahakama hiyo kujiridhisha kuwa Waziri wa Habari na Utamaduni, Dk Fenella Mukangara hakufuata taratibu la kukifungia chombo hicho cha habari.Gazeti la Mwanahalisi lilifungiwa Julai 30, 2012 kwa amri ya Dk Mukangara...

 

10 years ago

GPL

MAHAKAMA YA ILALA YAFUTA AMRI YAKE YA KUWAKAMATA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII

 Wakili Lucas Kamanija (kulia), anayemtetea Dk. Juma Mwaka katika kesi ya madai iliyofunguliwa dhidi ya wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wanadaiwa kukifunga kwa makufuli  Kituo cha Tiba za Asili cha ForePlan Herbal Clinic kilichopo Ilala Bungoni, kinachomilikiwa na Dk.Mwaka, akizungumza na waandishi wa habari katika viwanja vya Mahakama ya Wilaya ya Ilala Dar es Salaam jana, mara baada ya kusikiliza kesi hiyo ambapo...

 

11 years ago

Michuzi

mahakama kuu yafuta tena maombi ya sheikh ponda kuodolewa shitaka la kukaidi amri halali

MAHAKAMA Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, leo imefuta kwa mara ya pili maombi ya kufanya marejeo kuhusu kuliondoa shitaka la kukaidi amri halali iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, dhidi ya Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda  (pichanibaada ya kufunguliwa kwa kukiuka sheria.   Kadhalika maombi hayo yamefutwa baada ya kukiuka kifungu cha 372 kidogo cha (2) cha Mwenendo wa Sheria za Makosa ya Jinai (CPA) ambacho hakiruhusu maombi hayo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani